Nitafanya kazi gani nikimaliza kusoma?

Nitafanya kazi gani nikimaliza kusoma?

Mr Journalist

Member
Joined
Aug 16, 2025
Posts
15
Reaction score
44
Mimi ni Kijana wa Mika 25, nimehitimu Chuo kikuu Mwaka huu 2026, nimesoma Issue za Journalism (Degree)

Nimekuwa natafuta Ajira ila nikiuliza Jamaa zangu ambao wapo kwenye ajira kwa muda sasa wananiambia wao Mishahara yao ni 250k hadi 300k na mwenye Mshahara mkubwa ni 500k

Sasa nilipiga hesabu kwa Mshahara wa 400k kwa Mwezi na matumizi yangu kwa Mwezi mzima nikaona hata nikisema napata kazi ya 500k kwa Mwezi bado kwa Maisha ya Dsm naona kama sitoboi nitaishia kuwa mtumwa wa Ajira maana naona kama nitakuwa natafuta Kodi, chakula na Nauli tu

Sasa najiuliza pasi majibu, ni fanye kazi gani na sitaki kurudi mkoni (Nyumbani) maana hakuna mazingira tuseme nitapata mtaji wa biasha zaidi ya kwenda kuwaongezea mzigo wazazi..

1001273573.jpeg
 
Wewe unaona hautotoboa,sawa.Hao uliowauliza wanawezaje kwa kiasi hichohicho?
 
Mimi ni Kijana wa Mika 25, nimehitimu Chuo kikuu Mwaka huu 2026, nimesoma Issue za Journalism (Degree)

Nimekuwa natafuta Ajira ila nikiuliza Jamaa zangu ambao wapo kwenye ajira kwa muda sasa wananiambia wao Mishahara yao ni 250k hadi 300k na mwenye Mshahara mkubwa ni 500k

Sasa nilipiga hesabu kwa Mshahara wa 400k kwa Mwezi na matumizi yangu kwa Mwezi mzima nikaona hata nikisema napata kazi ya 500k kwa Mwezi bado kwa Maisha ya Dsm naona kama sitoboi nitaishia kuwa mtumwa wa Ajira maana naona kama nitakuwa natafuta Kodi, chakula na Nauli tu

Sasa najiuliza pasi majibu, ni fanye kazi gani na sitaki kurudi mkoni (Nyumbani) maana hakuna mazingira tuseme nitapata mtaji wa biasha zaidi ya kwenda kuwaongezea mzigo wazazi..

View attachment 3660743

Kazi yenye si mpaka uipate unaongea kirahisi kama unayo.

Mshahara wa 400,000 wewe pekee yako usikutoshe kwa nini. Maisha ni hatua ondoa mawazo kuwa umemaliza chuo utapata kazi ya Mshahara mkubwa unaunue gari, ujenge nyumba ndani ya muda mfupi ile ilikuwa ndoto.

Kwa sasa anza na kidogo kilichopo fursa zingine zitakuja baadae. Epuka kuishi maisha kama bado ni mwanafunzi. Ishi maisha halisi sio cosmetics life ambayo inaweza kukupeleka sehemu mbaya.
 
hahaha ila haya maisha Bana
Nilipomaliza form four nilijua kabisa 2026 nitakuwa wapi
Leo mwanamke wangu ndiye ananilazimisha kufata Cheti Cha Shahada yangu kwa kuwa sina kazi nacho
Najua hutaki lakini ukweli ni huu
Tanzania ya Mama unachosoma sicho unachofanya unachofanya sicho ulichosoma
Mdogo wangu nipo kwenye ajira na yupo mwenye amesoma nachokifanya lakni nimeshashika nafasi naye anafanya ambacho hajasoma
haya ndo maisha mdogo wangu

mwisho hela ya kula kuvaa kodi kuhonga siku hizi tunapatia kwenye talents zetu
Mishahara ni kwa mambo ya msingi kama uwekezaji na maendeleo
 
Umejaribu kuwauliza hao wanaopewa huo mshahara wanaishije?
 
Kazi yenye si mpaka uipate unaongea kirahisi kama unayo.

Mshahara wa 400,000 wewe pekee yako usikutoshe kwa nini. Maisha ni hatua ondoa mawazo kuwa umemaliza chuo utapata kazi ya Mshahara mkubwa unaunue gari, ujenge nyumba ndani ya muda mfupi ile ilikuwa ndoto.

Kwa sasa anza na kidogo kilichopo fursa zingine zitakuja baadae. Epuka kuishi maisha kama bado ni mwanafunzi. Ishi maisha halisi sio cosmetics life ambayo inaweza kukupeleka sehemu mbaya.

Asante Ndugu yangu 🙏🏻
 
hahaha ila haya maisha Bana
Nilipomaliza form four nilijua kabisa 2026 nitakuwa wapi
Leo mwanamke wangu ndiye ananilazimisha kufata Cheti Cha Shahada yangu kwa kuwa sina kazi nacho
Najua hutaki lakini ukweli ni huu
Tanzania ya Mama unachosoma sicho unachofanya unachofanya sicho ulichosoma
Mdogo wangu nipo kwenye ajira na yupo mwenye amesoma nachokifanya lakni nimeshashika nafasi naye anafanya ambacho hajasoma
haya ndo maisha mdogo wangu

mwisho hela ya kula kuvaa kodi kuhonga siku hizi tunapatia kwenye talents zetu
Mishahara ni kwa mambo ya msingi kama uwekezaji na maendeleo

Asante kaka 🙏🏻
 
Kwani nani kakuambia ukilipwa leo 350k ndio utaing'ang'ania hiyo hadi kufa.
Fanya chochote cha kukuweka mjini ukitafuta hicho unachokipambania

Kuwa na standard na wakati hata kujilipia kodi na kujilisha ni mtihani. Utajipa stress za bure

Wewe chukua kazi ya kulipa bills ukitafuta hicho cha kukupa maisha. Kumbuka kupata kazi ukiwa kazini ni rahisi kuliko ukiwa magetoni. So do something

Survive mkuu
 
Back
Top Bottom