mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,063
- 1,456
Kwa jinsi nijuavyo kusoma ni kazi. Leo aje mtu from nowhere oooh huna cheti halali au sijui jina umefoji! Naenda kuleta begi la vyeti mbele ya kamera kabla sijachafuka. Ni kitu cha ajabu kabisa kuona RC wetu Daudi Bashite anashindwa kufanya a very simple exercise like this. Mimi binafsi natia mashaka kabisa kama kweli ana vyeti vya kitaaluma au hana ukiachilia mbali kelele kuwa wanaomsingizia ni wa madawa ya kulevya. Pia ieleweke suala la utata wa vyeti na jina la RC limeanza Dec 2015 wala sio mwaka huu 2017. Ni kwamba kivuli bado kina mtafuta. Suala la vyeti ni issue sensitive hasa kwa kiongozi wa umma. Nasikitika sana kuona kuna watu wanamtetea eti wapiga kelele ni watu wa unga, Wanasahau kuwa zoezi la vyeti feki ni la kitaifa. Katika hili Magufuli kafeli kabisa.