Nitabaki salama kweli?

Hiyo ni salama kabisa..sperm fertility haiathiliwi na chochote ata ukiwa unapiga kila cku mara moja..endeleza tu kuliko ukadantie malaya.
 
Acha huo mchezo kijana. Utaumia na kulia pekee siku zijazo mbeleni.

Huu mchezo ukishauzoea ni utaendelea nao tu. Tena kila siku.
 
punyeto ni dhambi

aache kabisa
 
we muongo sana mkuu, miezi mitatu ndo unapiga? yaani wewe kama ni chaputa ni chaputa tu, sidhani hata unamalizaga wiki hujajilipua
 
Bora upige punyeto mwayego kuliko kuji expose kwa magonjwa
ngono pia ni dhambi
dhambi ya uzinzi malipo yake ni magonjwa
dhambi ya punyeto nadhani side effect zinajulikana kuna nyuzi mbali mbali humu watu wakilalamika juu ya NYETO
 
ngono pia ni dhambi
dhambi ya uzinzi malipo yake ni magonjwa
dhambi ya punyeto nadhani side effect zinajulikana kuna nyuzi mbali mbali humu watu wakilalamika juu ya NYETO
Basi sawa...kwa hiyo akishikwa ugwadu ni bora akamate yeyote anayekuja mbele yake au ajiue ili asitende dhambi?
Btw shambi ni perceptional na mind programming tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…