Nitaandika kesho βœπŸ»πŸ™πŸ½

Ila dogo awamu hii kuanzia Ile 29 tarehe umenifurahisha sana. Kabla ya hapo nilikuwa nakuweka kundi Moja na akina lucha nilidhani akili zako zipo kwa team kiba vs team diamond. Ila msimamo ulio onesha dhidi ya wadhalimu imebidi ni kupe heshima Yako.
Mimi nilimuweka kwenye dustbin nilikua namuona hamnazo hasa neno lake la 'chai' ila sasa hivi namkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…