NIT wanapofelisha wanafunzi kwa makusudi

MBALIKILA

New Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2
Reaction score
1
Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji NIT kimeamua kuwafelisha kwa makusudi wanafunzi 40 ngazi ya cheti katika course ya manunuzi na ugavi.

Inadaiwa walimu kwa kushirikiana na mkuu wa idara wameacha kujaza coursework halisi ambazo wanafunzi hao walizipata na kujaza ambazo siyo zao ili kutekeleza lengo lao la kuwafelisha wanafunzi hao.

Hata baada ya wanafunzi hao kwenda kulalamika kwa mkuu wa Idara kuhusu habari ya kupunjwa marks zao mkuu huyo wa Idara amekataa kuwasikiliza.

Course work tulizosaini ni tofauti na tulizo wekewa kwenye matokeo ya mtihani yetu. Hii inaonekana ni hujuma kwetu alisema mwanafunzi mmoja ambaye hakutaka jina lake lifahamike.

Hayo ndiyo yanayojiri NIT.
 
Wamejuaje kua si sahihi...kwani walivyosaini walienda tena kucheki wakakuta siyo au imekaaje hiyo!,pia kwanini hao 40 tuu kama si darasa zima tatizo la hao ni nini?
 
Back
Top Bottom