Ngiyemenya
Member
- Aug 11, 2016
- 67
- 32
ingia web yao utaonaTaarifa umezitoa wap mkuu..!?
Maana hata mm nimechugua hapo
Ok pouwaingia web yao utaona
pouwaOk pouwa
Asante
daah mkuu umeniwahi aisee nilitaka niipost usiku wa leo....hadi tarehe 28 mbivu na mbichi zitakuwa zimejulikana...ngoja niendelee kuangalia hili muvi...naona stering anakoki 'binduki'Afadhali tarehe ya kuripot NIT 28 november 2016 manake kama kuandamana kuhusu mkopo watakuwa wameandamana sanaa na kitakuwa kimeeleweka.
Taarifa umezitoa wap mkuu..!?
Maana hata mm nimechugua hapo
hahaaaa kweli kiongozi yaani tusubili picha la kihindidaah mkuu umeniwahi aisee nilitaka niipost usiku wa leo....hadi tarehe 28 mbivu na mbichi zitakuwa zimejulikana...ngoja niendelee kuangalia hili muvi...naona stering anakoki 'binduki'
Mbona mkopo naona nao wataanza kutoa majina soon maana jana nimecheki account yangu nkakuta nimepewa ila hawajaweka asilimiadaah mkuu umeniwahi aisee nilitaka niipost usiku wa leo....hadi tarehe 28 mbivu na mbichi zitakuwa zimejulikana...ngoja niendelee kuangalia hili muvi...naona stering anakoki 'binduki'
kama mimi. vipi leo umeangalia?Mbona mkopo naona nao wataanza kutoa majina soon maana jana nimecheki account yangu nkakuta nimepewa ila hawajaweka asilimia
wew ni f6 au diplomaMbona mkopo naona nao wataanza kutoa majina soon maana jana nimecheki account yangu nkakuta nimepewa ila hawajaweka asilimia
man weka link na sis tuchunguliekama mimi. vipi leo umeangalia?
F6 mmwew ni f6 au diploma
olas.heslb.go.tzman weka link na sis tuchungulie
Asante sana mkuuKaribuni sana vijana NIT the mother of transportation course east africa,ila chuo kinapitia mabadiliko mengi sana ya kiuongozi na kimazingira hivyo jitahidini kua wavumilivu maana idadi ya wanafunzi inaongezeka siku baada ya siku,hivyo mifumo pia inakua katika changamoto kubwa ya mabadiliko,muhimu kujua chuo bado kipo katika wizara ya uchukuzi so mtakutana na madereva kibao daily,msijedhani nao ni walimu mkasalimia kila saaa kwa hofu.Msisahau kuwahi hostel za chuo mapema maana ni chache mno hivyo atakaye wahi basi atapata.Asante
umeandikiwaje mkuu..mi nimechek nimekuta not allocated in 1st batch..daah n shidaMbona mkopo naona nao wataanza kutoa majina soon maana jana nimecheki account yangu nkakuta nimepewa ila hawajaweka asilimia