jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,670
- 12,097
Nasikia saris yao inazingua kila mwaka, hakuna ubunifu kabisa hata usajili ni kupanga foleni yaani wanachuo elfu tano wote foleni... Hakuna ubunifu kabisa hata usajili online hakuna yawezekana kweli ma it wamelela usingizi mzitoShusha data mkuu,, IT tupo tayari kupiga mzigo wao wanawekana. Inawezekana hao waliowaweka wanajua cable termination tuuu. Director wao wa ICT yupo serious kweli?? Angalia hata saris yao, ipo very weak,matokeo yakitoka ukichelewa kuangalia unakuta mwenzio ameshalog in na amechange password yako, hapo ndipo nilichoka nikamuuliza mhusika chuo chenu kina IT dept kweli??? Ukiangalia form za saris yenyewe ni aibu tupu,nathubutu kusema hiki chuo waajiri wataalamu wapya. Wasilete vigezo vya huruma za kujitolea,wachuje competent people waendeshe idara unless otherwise watumbuliwe
Bado unataka kwenda kusoma hapo! Kuwa na akiba ya manenoUsemacho ni kweli mkuu. Watu wengi wanakilalamikia sana hiki chuo. Hata humu JF kuna threads kibao zinaelezea ubabaishaji wa NIT.
Kuna very poor Management pale. Chuo kinafanya mambo kilocal sana.
-Kaveli-
Bado unataka kwenda kusoma hapo! Kuwa na akiba ya maneno
Sasa website kutoeleweka ndo kinakuwa chuo cha kata?? Wew sijui ni dem umechoka kupanua mapaja mtaani...subili muda wa kujiunga utafika una haraka gani...madogo mengine mandaz kweli1. Applicants to Bachelor Degree: Mpaka leo hii majina ya selected applicants bado hayajawa released and uploaded kwenye website yao. List ya selected applicants eti ipo kwa msajiri, na inasambazwa kwa picha. Yaani wameamua 'kui-release' kwa njia hiyo ya 'picha' na kurusha kwenye social media. Tuamini vipi authenticity ya hiyo release ya picha?
Eti majina yapo chuoni watu wakaangalie. Huu ni upuuzi wa karne. Hivi mnadhania applicants wote ni wakazi wa DarSlum eeh waje hapo Mabibo just to view the selection release?!! Soft copy ya hiyo list mnayo, mnashindwa nini kui-upload kwenye hiyo website yenu ili applicants wote countrywide waangalie? Ni uvivu, uzembe ama kitu gani? au ndiyo kufanya kazi kwa mazoea?
2. Applicants to Certificate and/or Diploma: List ya selected applicants ipo kwenye website. Ila cha ajabu hiyo selection release haifunguki! Ukiibonyeza, inakwambia 'jaribu tena next year'.
3. Website ya N.I.T haina any update za chuo kuhusu chochote kile. Hivi hamna kitengo cha I.T? au I.T yenu mmejaza wazee wasioweza kuendana na kasi ya sasa ya technology?
4. Niliwahi kuwatumia email (inquiry), nilijibiwa baada ya miezi miwili! Nchi hii ni ngumu sana walahi.
Nyie N.I.T ni chuo cha elimu ya juu kweli? ama ni kijiwe cha tuition center?
Kama ni Chuo kweli, basi fanyeni kazi in professional manner na muendane na kasi ya teknolojia.
Delay to officially release the selection list, mnasababisha watu tunakuwa stranded on dilemma towards pre-study arrangements.
Tushapanua sana miguu huku kitaa. Sasa ni muda wa kwenda kupanua akili darasani.
Wekeni majina kwenye website yenu. Acheni ubabaishaji.
-Kaveli-
Kazi kuuza sura tu kwenye vyuo huku unasoma zoom polytechnic fala kweli au unatafuta mabashaAisee nimeshatembea baadhi ya vyoo katika hall za Ud lakini cjawahi kutana na hali kama iliyopo hapo NIT wala inayoikaribia , Ule uchafu ni aibu hasa ukizingatia wasomi wanakaa hapo ni aibu kubwa. . NIT=CHUO CHA KATA=NIT
Kigezo cha mtu kuchaguliwa diploma unakijua?Wahuni tu hao wanatoa engineering diploma ya miaka 2 kwa waliofeli form 6
He gonna dance wat genre ovu ze disco... lumba or maasai? 🙂🙂😀😀
sad music, non stop. 😉😉😉😉Kaveli-
Sasa website kutoeleweka ndo kinakuwa chuo cha kata?? Wew sijui ni dem umechoka kupanua mapaja mtaani...subili muda wa kujiunga utafika una haraka gani...madogo mengine mandaz kweli
Una stress, umepanic, uko stranded hata unachokiongea hukijui ni kweli umechoka kupanua miguuu, kama unajiamini kupata nafasi ya kusoma presha ya nini?Nani kakwambia nina nataka kwenda kusoma hapo? Can you prove your statement?
Ni maneno yepi hayo unayotaka niyaweke kwenye akiba?
Why unatetea 'lazy affair' Administration kwenye hiyo taasisi ya serikali?
-Kaveli-
Kazi kuuza sura tu kwenye vyuo huku unasoma zoom polytechnic fala kweli au unatafuta mabasha
Una stress, umepanic, uko stranded hata unachokiongea hukijui ni kweli umechoka kupanua miguuu, kama unajiamini kupata nafasi ya kusoma presha ya nini?
watu wengine vichaa yaani unaponda NIT upo mtaani hata certificate ya ufagizi huna NIT ni chuo bora na msiwe na haraka ya kuona majina kwenye website ya chuo mshajiona tcu kama mmechaguliwa nit mnaharaka gani na kwa taarifa yenu kila chuo kina ratiba yake msiwe mafala mnaponda bila reason eti umeambia ukiambiwa uprove utaweza tunaojua nit ni sisi tuliopo nit sio wahuni wa manzese wanaojifanya wanajua nit
Mtoa uzi, kweli naona mantiki ya malalamiko yako. I'm not sure kama huu ukimya ni wa kawaida.
Its my sincere speculations that there should be a problem. Sasa tatizo linaweza kuwa beyond the control of the institute. Cha msingi vuteni subira, sidhani wanaweza kukurupuka kuita watu "within a day". Lazima wawape muda wa kutosha kufanya maandalizi
sikulaumu utakuwa ushawahi kuugua kichaaWewe kuijua NIT nje ndani haifuniki mapungufu yenu hapo chuoni. Wewe kuijua NIT vizuri sio justification ya kuzuia watu wasi-raise concerns zao kuhusu chuo hicho.
Mkuu, msiwe wakali mnapoelezwa ukweli kuhusu 'lazy affair' running ya chuo chenu. Critique makes you stronger coz unakuwa unaelewa sasa wapi uboreshe.
Jitahidini mboreshe hizo gaps. NIT ni chuo kikongwe and experienced. As such, you must heed to professionalism and efficiency.
Na unaposema kwamba eti watu wanaponda NIT bila REASON, unaonesha ni jinsi gani ulivyo mweupe kichwani. Acha kufikiri kwa 1% !
Karibu kigoma uvinza tuvune chumvi.
-Kaveli-
sikulaumu utakuwa ushawahi kuugua kichaa