Hahaaaa sitaki kuamini Amazon college hii hii iwe na nafuu kuliko NIT
Kila kitu kina ratiba acha maneno mengi tulia kila kitu kitaenda sawa
chuo cha kataaaaaa... aisee hicho chuo kina uchafu kila kona , vimbweta ..... chooni &bafuni . ctajaribu kukitembelea tena. Mnisamehe lakini huo ndo ukweli ingawa unauma!!!!!..
iko chuo michosho sana mi kuna jamaa zangu wanapiga auto hapo wanalalamikia ratiba haifuatwi kuna baadhi ya vipind hawajafundishwa hadi leo yani uzinguzi tu wanavyodai yani sio hao tu wengi wanakisema sasa sijajua tatizo liko wapi utawala au la;
sijakuelewa hapa mkuu, nakumbuka tulifanya interview kwa idara ya ICT oficer, tulikuwa kumi na moja baada ya mchujo wa awali (writen interview), baadae wakaamua kuweka watu wao waliokuwa wanajitolea...Hiyo inaitwa kampa kampa tena ujumbe umewafikia
zei gonna look tu UNIT itakuwa kuna matatizo upande wa IT. Kuna wakati website yao ilikuwa haipo kabisa.
uongoz ndo unaoludisha nyuma taaluma ya chuo hicho sio competent
kama vyuo vingine
sasa mnapo weka majina ubaon kumbuken kuna watu wanatoka sehemu mbalimbali ktk tz hii wengine wapo nje ya nchi pia utakuta huyo mtu hana ndugu yyte hapa dsm so what's next?
pia idala ya IT ipo vibaya mno tena ipo icu
ukienda wanakwambia chuo kinafunguliwa nov28 wakat hata majina hamna vp hayo maandaliz utayafanyaje?
toeni majina mapema ili watu wajipange hata mkisema chuo mwakan
tena nimeona utawala wao kuna vizeee kibao umri wa kustaafu lakin bado vinapiga mishe
BADILIKEN HICHI CHUO KILITAKIWA KIWE KTK LEVEL YA DIT MAANA NI KIKONGWE HATA COURSE ZAO PIA NI NZUR
pia idala ya IT ipo vibaya mno tena ipo icu
tena nimeona utawala wao kuna vizeee kibao umri wa kustaafu lakin bado vinapiga mishe
BADILIKEN HICHI CHUO KILITAKIWA KIWE KTK LEVEL YA DIT MAANA NI KIKONGWE HATA COURSE ZAO PIA NI NZUR
Duuuuh hii wameua kabisa kama kweliWahuni tu hao wanatoa engineering diploma ya miaka 2 kwa waliofeli form 6
Shusha data mkuu,, IT tupo tayari kupiga mzigo wao wanawekana. Inawezekana hao waliowaweka wanajua cable termination tuuu. Director wao wa ICT yupo serious kweli?? Angalia hata saris yao, ipo very weak,matokeo yakitoka ukichelewa kuangalia unakuta mwenzio ameshalog in na amechange password yako, hapo ndipo nilichoka nikamuuliza mhusika chuo chenu kina IT dept kweli??? Ukiangalia form za saris yenyewe ni aibu tupu,nathubutu kusema hiki chuo waajiri wataalamu wapya. Wasilete vigezo vya huruma za kujitolea,wachuje competent people waendeshe idara unless otherwise watumbuliwesijakuelewa hapa mkuu, nakumbuka tulifanya interview kwa idara ya ICT oficer, tulikuwa kumi na moja baada ya mchujo wa awali (writen interview), baadae wakaamua kuweka watu wao waliokuwa wanajitolea...
Bado naendelea kukusanya data za kutosha ili nianzishe uzi wenye tuhumu kuhusu hili chaka la hawa watu
sijakuelewa hapa mkuu, nakumbuka tulifanya interview kwa idara ya ICT oficer, tulikuwa kumi na moja baada ya mchujo wa awali (writen interview), baadae wakaamua kuweka watu wao waliokuwa wanajitolea...
Bado naendelea kukusanya data za kutosha ili nianzishe uzi wenye tuhumu kuhusu hili chaka la hawa watu