NIT ni chuo ama ni kijiwe cha tuition?

Mkuu umeeleweka na naimani wapo humu watachukua hatua stahiki katika kujenga
 
NIT itakuwa kuna matatizo upande wa IT. Kuna wakati website yao ilikuwa haipo kabisa.

Chuo kikongwe and experienced lakini kina ubabaishaji mwingi utadhani chuo cha Kata.

Ata Amazon College kina nafuu.

-Kaveli-
 
Hv hawa c ndo best engeneer kuliko wale wa YUDIZIMI asaaah mbona vitu vidogo tu wanazingua wakuu!!!
 
chuo cha kataaaaaa... aisee hicho chuo kina uchafu kila kona , vimbweta ..... chooni &bafuni . ctajaribu kukitembelea tena. Mnisamehe lakini huo ndo ukweli ingawa unauma!!!!!..
 
chuo cha kataaaaaa... aisee hicho chuo kina uchafu kila kona , vimbweta ..... chooni &bafuni . ctajaribu kukitembelea tena. Mnisamehe lakini huo ndo ukweli ingawa unauma!!!!!..
Umejaribu kwenda UD? ukaona vyoo vya seminar rooms pale?, ukaenda vyoo vya halls kuanzia ONE mpaka SEVEN? Unaujua ustaarabu wa wanafunzi? Hata dingi yako akiwa ni dent? Tulia nenda kasome , ustaarabu ni kwako!
 
Aisee nimeshatembea baadhi ya vyoo katika hall za Ud lakini cjawahi kutana na hali kama iliyopo hapo NIT wala inayoikaribia , Ule uchafu ni aibu hasa ukizingatia wasomi wanakaa hapo ni aibu kubwa. . NIT=CHUO CHA KATA=NIT
 
Kila kitu kina ratiba acha maneno mengi tulia kila kitu kitaenda sawa
 
iko chuo michosho sana mi kuna jamaa zangu wanapiga auto hapo wanalalamikia ratiba haifuatwi kuna baadhi ya vipind hawajafundishwa hadi leo yani uzinguzi tu wanavyodai yani sio hao tu wengi wanakisema sasa sijajua tatizo liko wapi utawala au la;
 
Aisee nimeshatembea baadhi ya vyoo katika hall za Ud lakini cjawahi kutana na hali kama iliyopo hapo NIT wala inayoikaribia , Ule uchafu ni aibu hasa ukizingatia wasomi wanakaa hapo ni aibu kubwa. . NIT=CHUO CHA KATA=NIT
hahaha
 
Sijawahi kuona wakijaribu kushindanisha Engineers wa NITvs UDSM,ile ni Dar es salaaam Institute of Technology(DIT) na hii ni National Institute of Transport (NIT).
Swadakta mkuu co hawa ila nawao waczngue sasa
 
Nenda zoom polytechnic College kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…