Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,458
- 8,961
1. Applicants to Bachelor Degree: Mpaka leo hii majina ya selected applicants bado hayajawa released and uploaded kwenye website yao. List ya selected applicants eti ipo kwa msajiri, na inasambazwa kwa picha. Yaani wameamua 'kui-release' kwa njia hiyo ya 'picha' na kurusha kwenye social media. Tuamini vipi authenticity ya hiyo release ya picha?
Eti majina yapo chuoni watu wakaangalie. Huu ni upuuzi wa karne. Hivi mnadhania applicants wote ni wakazi wa DarSlum eeh waje hapo Mabibo just to view the selection release?!! Soft copy ya hiyo list mnayo, mnashindwa nini kui-upload kwenye hiyo website yenu ili applicants wote countrywide waangalie? Ni uvivu, uzembe ama kitu gani? au ndiyo kufanya kazi kwa mazoea?
2. Applicants to Certificate and/or Diploma: List ya selected applicants ipo kwenye website. Ila cha ajabu hiyo selection release haifunguki! Ukiibonyeza, inakwambia 'jaribu tena next year'.
3. Website ya N.I.T haina any update za chuo kuhusu chochote kile. Hivi hamna kitengo cha I.T? au I.T yenu mmejaza wazee wasioweza kuendana na kasi ya sasa ya technology?
4. Niliwahi kuwatumia email (inquiry), nilijibiwa baada ya miezi miwili! Nchi hii ni ngumu sana walahi.
Nyie N.I.T ni chuo cha elimu ya juu kweli? ama ni kijiwe cha tuition center?
Kama ni Chuo kweli, basi fanyeni kazi in professional manner na muendane na kasi ya teknolojia.
Delay to officially release the selection list, mnasababisha watu tunakuwa stranded on dilemma towards pre-study arrangements.
Tushapanua sana miguu huku kitaa. Sasa ni muda wa kwenda kupanua akili darasani.
Wekeni majina kwenye website yenu. Acheni ubabaishaji.
-Kaveli-