NIT diploma

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,730
3,174
msaada wakuu,kwa wale wa chuo cha usafirishaji NIT hivi waliochaguliwa diploma wanafungua lini na joining instructions zishatoka?? kwa wanaofahamu naomba mnisaidie,kuna mtu amechaguliwa hapo ordinary diploma in mechanical eng.
 
Joining instruction ipo pale kwenye website yao ww.nit.ac.tz
Kuhusu kuripoti hapo sijajua
 
Back
Top Bottom