Nisumbue sumbue usinikubali haraka

Nisumbue sumbue usinikubali haraka

Mpango wa kukutongoza miezi sita au mwaka kama nasomea kozi ya computer programing sitaki

kama hutaki sema sitaki haupo peke yako kwanza inakua bahati kutongozwa na mtu kama mimi

naongea na wewe dada wa humu jf enhhee sasa je unafikiri nitasemea wapi ?

Duu....mkuu umekusudia kwelikweli kudeliver message.. nimeipenda hii
 
baadhi wanakera sana..kuna mmoja alinizungusha mpaka upendo wote niliokuwa nao kwake ukageuka kuwa chuki..nikaamua nivumilie na kukomaa hivyohivyo ili nimpate aje fidia machungu aliyoyatengeneza mwenyewe...nilichomfanya nadhani atakuja kumsimulia hata mtt wake wa kike
 
Sijawahi kukutana na hizo blurred lines, huwa wananijibu moja kwa moja. Mazingira pia yanachangia.
 
Na midume mingine imezidi. Ukikubali mapema 'loose' ukivuta muda hamkosi la kusema LOL. Wengine wachoyooooo wanataka kugegeda tu na kutimua mbio. Ukiona vyaelea vimeundwa kuwa mstaarabu kidogo
 
mi nnavyojua mwanamke anajifunza kupenda frm day one taratiiibu had inafikia kipind unamwingia kumoyo total complit ndo mana mwingne atakwambia nipe mda ili akuchambue km unamfaa au lah. mwingine atakukataa na matusi juuu lkn mwisho wa cku anakubali. ila huyo wa miez cta too much.

Ofcourse inabidi apate mda kidogo walau ajiridhishe ila usizidi mwezi, miezi minne anataka kuvumbua nini kwa mfano?Kama mwanaume hajatulia anazan hawezi kumficha?
 
Na midume mingine imezidi. Ukikubali mapema 'loose' ukivuta muda hamkosi la kusema LOL. Wengine wachoyooooo wanataka kugegeda tu na kutimua mbio. Ukiona vyaelea vimeundwa kuwa mstaarabu kidogo

Usiwe na haraka sana, yaani leo unatongozwa kesho unagawa mzigo hiyo ni too much, but unapomzungusha mtu zaidi ya mwezi bila kumpa jibu la kueleweka (achilia mbali kutoa mzigo) inakuwa sio
 
Kama unatongoza kwa miezi sita yaani semester mja nzima na Field juu na bado hujakubaliwa, njoo nikusaidie kukupa darasa
 
Mhuuu! Mwenzenu Nilizungushwa Toka Mwaka 2013 Nimekuja Kupewa Jibu Mwez Huu!
 
Bora wewe miezi minne. Mimi Mwaka mzima hadi nikapotezea kabisa ndo akajileta mwenyewe, nikakubali afu nikamweka kwa mwaka mzima afu nikapotea hewani kabisa
 
Mpango wa kukutongoza miezi sita au mwaka kama nasomea kozi ya computer programing sitaki

kama hutaki sema sitaki haupo peke yako kwanza inakua bahati kutongozwa na mtu kama mimi

naongea na wewe dada wa humu jf enhhee sasa je unafikiri nitasemea wapi ?
Hahaha
 
Bora wewe miezi minne. Mimi Mwaka mzima hadi nikapotezea kabisa ndo akajileta mwenyewe, nikakubali afu nikamweka kwa mwaka mzima afu nikapotea hewani kabisa
Hahaha
 
Back
Top Bottom