Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,510
- 9,349
tafuta fundi mzuri aangalie....injini mounts na gear box mounts, pia aangalie wheel bearings kama zimechoka huwa zinasababisha mvumo fulani na kama zimechoka sana gari hutetemeka....pia aangalie matairi yako kama yamevimba au huenda yanahitaji wheel balancing...Habari wadau, nina Nissan xtrail ya mwaka 2008. Ikifika speed kati ya 40 na 60 gari inavuma sana na kuanza kutetemeka. Ila nikivuka hadi 80 mvumo unapungua kidogo. Je tatizo laweza kuwa nini?
Mwisho jiridhishe kuwa injini haina misfire..
Japo swali lako halijashiba...hujaeleza mvumo unatoka kwenye injini au kwenye matairi