Ni gari gani ya Nissan unaweza kuweka engine ya Toyota

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
500
420
Hadau,

Nauliza ni gari gani ya Nissan unawwza weka engine ya toyota.Kuna mtu kaniambia X trail unaweza weka engine ya Toyota.

Naombeni ushauri mafundi
 
Hadau,nauliza ni gari gani ya Nissan unawwza weka engine ya toyota.Kuna mtu kaniambia X trail unaweza weka engine ya toyota.Naombeni ushauri mafundi
Swapping ya engine ina jumuisha changing the entire drivetrain ya engine husika...(hasa kama unataka automatic drive train...so ina involve kununua engine, transmission system yake na ECU na wiring yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom