nahisi mzee punch huifahamu harrier vizuri ni hivi harrier zipo za cc 3000, cc 2200 na cc 2400 na pia kuna yenye 4*4 full time na 2 wheel drive, ya cc 3000 usiiguse kama hela yako ya mawazo, ila cc 2200 consumption yake ni ndogo mno ni kama RAV 4,huwa naendesha nakwenda nayo moro na kurudi dsm nikifika dsm mafuta ni nusu taki, very confortable car, naomba siku moja nikupandishe ndio utajua confortability yake, na jitahidi uchukue ya two wheel you will enjoy, ya cc 2200 ya 4*4 wheel inakula mafuta zaidi ya 2 wheel, kwa hiyo kuwa makini. za cc 2400 ni hizi new model sijui consumtpion yake.<br /><br />
Vivian mimi mwenyewe nilikuwa siipendi kweli harrier lakini nilipoinunua nimeona raha yake. Tatizo kubwa la RAV jaribu kutafuta yenye button ya four wheel isiwe four wheel drive full time kwa kuwa ukiwa unaendesha unasikia tairi zinavyogusana na lami inaboa.ila kama rav4 jitahidi upate yenye button ya Four wheel drive au gear ya four wheel. NI HAYO TU