IzukeneJr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 758
- 753
Wadau kuna jamaa amekwama hapa anapush ndiga yake urgently, mpaka hivi ninavyoongea yuko nayo kazini kwake. Iko Mwanza 0686527039
Mkuu angalia vyema namba ziko hapo juuSasa mbona hujaweka hata mawasiliano! maana siyo wateja wote wanaonunua vitu humu ni members kamili wa jf! wengine wanaingia humu kama wageni tu.
Pia hukuwa na sababu ya kufuta hizo namba za gari maana kuuza na kununua gari ni jambo la kawaida tu. Walau ungefuta hizo namba tu na kuacha huo usajili kama ni wa A, B, C, nk. ujulikane kwa wateja badala ya kuwapa tena mzigo wa kuuliza maswali.
Mkuu angalia vyema namba ziko hapo juu
Ina tatizo gani?