steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,342
- 13,364
Wakuu eeh,naombeni mnijuze,hivi hizi NISSAN SERENA spare parts zake zinaingiliana na za Toyota Liteace Noah manake nazipenda hzi Serena ila sijui upatikanaji wake wa spea zake ukoje na hata bei zake kwa kuagizia ipo chini kuliko NOAH.Wenye ufahamu naomba mchangi wenu tafadhali​