Nissan Patrol Y60

Nissan Patrol Y60

Naona wengi wanarudi Kwa kasi Kwenye zilipendwa....kulikoni huko kwenye gari za kisasa....
Hii ni Nissan Patrol Y60?

But this one has been heavily modified. Hizo suspension, wide tire na hiyo custom bonnet.

SUV poa sana
Hii ni Nissan Patrol Y60?

But this one has been heavily modified. Hizo suspension, wide tire na hiyo custom bonnet.

SUV poa sana but if i had to choose this and Toyota, I’d always go for Toyota LandCruiser.
 
Back
Top Bottom