Nissan Patrol Y60

Nissan Patrol Y60

Kwakuusemea Moyo wangu 10 kwa 10, hii machine kwakweli naiheshimu na kuithamini sana hasa TD42
Shida ni nini mbona gari ya kitambo sana hiyo ikiwa na Td42 usikia muunguromo mkubwa wakati ipo hapo hapo..
Magari yametoka matoleo mengi sana Watanzania tubadilile kupenda vitu chakavu bhana..
 
Kila Moyo wa mtu unatuama pale anapo furahia, Mimi nipo hapo hata kama ni pazamani kiasi gani.
Ni kweli mkuu ila badilikeni bhana daah mpo busy na mauchakavu wakati vyuma vya kupendeza kibao vimetoka hiyo gari ya kuizungumzia kweli ila sishangai kodi za TRA kwenye magari zimewafanya msijue magari mengine comfortable..
 
Wakongo,Wazambia na Wamalawi sasa hivi hadi Zimbabwe wanapitisha gari bandari zetu wana vyuma hatari mno njoo kwa wenye bandari sasa eti Y 60 gari walizopewa wabunge miaka 20 iliyopita..
 
Ni kweli mkuu ila badilikeni bhana daah mpo busy na mauchakavu wakati vyuma vya kupendeza kibao vimetoka hiyo gari ya kuizungumzia kweli ila sishangai kodi za TRA kwenye magari zimewafanya msijue magari mengine comfortable..
Tumeyapenda haya makitu mkuu acha tu
 
The Y60's following comes down to the TD42 and mechanical simplicity: less electronics, easy field repairs, strong low-end torque and proven durability on bad roads. Modern cars are nicer daily, but for people who value repairability and longevity, the old Patrol still makes sense.
100% Be blessed Mkuu.
 
Back
Top Bottom