ndo td42 the same engine on y60 patrol.
Hahah kuna mwana anaiuza kama hio td 42 manual kwa pesa ndogo tu,nataka niifanyie makeke niifungie trailer ya 2 tonnes niingie nayo field.
Najua utaipiga madongo haina mbio hahah.
Kuna mwana kachukua Y62 V8 mwaka huu few months ago akaniomba tupige test drive na kwasababu ananiamini sana akanikabidhi Dar-Moshi jamani kwenye gari za Kijapan hio Nissan V8 ni balaa. Nilipiga ile mashine mpaka nikawa natabasamu siamini kama naendesha Japanese! Wakuu tutafute pesaThubutu ngoma iko moro imepaki inapumzika
Hiyo Kaz Kaz safari popote
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha najua ww mzee Wa european carsKumbe chombo bado iko road!
Si mchzooKuna mwana kachukua Y62 V8 mwaka huu few months ago akaniomba tupige test drive na kwasababu ananiamini sana akanikabidhi Dar-Moshi jamani kwenye gari za Kijapan hio Nissan V8 ni balaa. Nilipiga ile mashine mpaka nikawa natabasamu siamini kama naendesha Japanese! Wakuu tutafute pesa
Nissan Patrol haina ugonjwa wa kuchemsha. Nissan haitaki kuikanyaga sana ikiwa kwenye gia ndogo 1 au 2 (long foot) kwa muda mrefu kabla hujabadili gia nyingine hii inapelekea kuunguza cylinder head gasket na hii wengi vijana tunafanya kufurahia injini inapolalamika.Hizo gari zina chemsha sans
Kuna mwana kachukua Y62 V8 mwaka huu few months ago akaniomba tupige test drive na kwasababu ananiamini sana akanikabidhi Dar-Moshi jamani kwenye gari za Kijapan hio Nissan V8 ni balaa. Nilipiga ile mashine mpaka nikawa natabasamu siamini kama naendesha Japanese! Wakuu tutafute pesa
Nissan Patrol haina ugonjwa wa kuchemsha. Nissan haitaki kuikanyaga sana ikiwa kwenye gia ndogo 1 au 2 (long foot) kwa muda mrefu kabla hujabadili gia nyingine hii inapelekea kuunguza cylinder head gasket na hii wengi vijana tunafanya kufurahia injini inapolalamika.
Gasket ikiwa ina tatizo hizi Nissan itachemsha, ila mpaka umefikia huko hiyo gari ilikuwa inaendeshwa vibaya na madereva wengi.
Sauti za gari ninazopenda
BMW X3 3.0i
LR/RR V8
Cruiser V8
Prado 2013- diesel ule mluzi wa Turbo ni mtamu balaa
Ni kweli lakini mimi bado naamini mtu ufa kwa ahadi, ndio maana ukienda hospital utapata takwimu za wanaokufa kwa malaria, tb, wanaokufa tu gafla, ajali, watoto tu wanazaliwa na kufa. Though you have a point, i can't ignore in anyway.
BKuna mwana kachukua Y62 V8 mwaka huu few months ago akaniomba tupige test drive na kwasababu ananiamini sana akanikabidhi Dar-Moshi jamani kwenye gari za Kijapan hio Nissan V8 ni balaa. Nilipiga ile mashine mpaka nikawa natabasamu siamini kama naendesha Japanese! Wakuu tutafute pesa
Lile dude ni hatari mzee baba! Super comfortable and well balanced aerodynamics.Kuna mwana kachukua Y62 V8 mwaka huu few months ago akaniomba tupige test drive na kwasababu ananiamini sana akanikabidhi Dar-Moshi jamani kwenye gari za Kijapan hio Nissan V8 ni balaa. Nilipiga ile mashine mpaka nikawa natabasamu siamini kama naendesha Japanese! Wakuu tutafute pesa
Auto petrol I guess ni cc5600 hivi. Mwendo ni balaa several occasions I was hitting 200kph bila kujua. Lina kiu balaa,full tank kama 350,000/- hivi.B
Lile dude ni hatari mzee baba! Super comfortable and well balanced aerodynamics.
Lilikuwa manual diesel au auto petrol? Chuma ina mwendo sana eeh?
Kwa kiu Nissan ni kawaida. Sema very well balanced and comfy kama dege babu! 5.6 ndio lenyewe hilo top end model!Auto petrol I guess ni cc5600 hivi. Mwendo ni balaa several occasions I was hitting 200kph bila kujua. Lina kiu balaa,full tank kama 350,000/- hivi.
Full loaded,gadget kama zote
Wenye pesa wanafaidi sanaKwa kiu Nissan ni kawaida. Sema very well balanced and comfy kama dege babu! 5.6 ndio lenyewe hilo top end model!
Top speed ni ngapi?Wenye pesa wanafaidi sana
240kph and im sure inamaliza.Top speed ni ngapi?
Hizi mashine zote zinatoka na injini ya Petrol hakuna zenye injini ya Diesel.B
Lile dude ni hatari mzee baba! Super comfortable and well balanced aerodynamics.
Lilikuwa manual diesel au auto petrol? Chuma ina mwendo sana eeh?
Mzee Lowasa 2015 kwenye kampeni za uraisi alitumia hizi Nissan kama 10 zilikuwa zinamfata anakoenda.Wenye pesa wanafaidi sana
Gari hio inavuta attention ya watu balaa hadi kero.Licha ya kupiga kazi nzito kipindi like kuna moja naiona anatumia mtoto wake na ikipita lazima watu mgeuke kuangalia mashine