uwiiiiiii!!!!! Wana jf tumetukanwa......tumetukanwa jamani tumetukanwaaaaaaaa....... Kumbe mtu yeyote tajiri hawezi kuwa jf saa nane usiku????? Na kumbe jamii forum ni ya watu wenye kipato cha chini wenye kipato kikubwa hawaingii jf????? Na kumbe mtu akishindwa kuandika vizuri neno (to spell landcruiser-akaandika "landcruizer") ni mtu mwenye kipato duni???? Uwiiiiiiiiiii!!!!! Mods mmeliona hili??????
Jf ni ya watu maskini tu kumbeeeeeeeeee????????? Ninauchungu sana...........
Mashauzi classic. Mtu mwenye uwezo wa kuwa na milioni 38 hawezi kuwa online JF saa nane usiku. Hiyo Land Cruiser yenyewe huwezi hata kuiandika. ACHA NISHAI MKUU.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umekariri mtu mwenye fedha anawezafanya chochote kile.hivi wewe ukimiliki M38.tabia yako itabadirika?
Ni gari ya mwaka gani?
Subiri waje hapa hao watu wako uliowaita tuone watakusaidia kitu gani. Wewe unadhani kila mtu hapa anatumia masaburi kufikiria? Mwenzako analeta thread ya maana afanye biashara ili maisha yaendelee wewe badala ya kuchangia mambo ya maana unaleta masihara. Kama unataka mambo ya mdhaha nenda jukwaa la jokes. Idi*t.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahahhahahaha, Chezea VX weye!Kaka ukipata hiyo land cruiser mpya kwa hiyo bei tafadhali ni pm na mimi
Usitake tumwaribie mkuu thread yake. Mkuu yupo kazini anatafuta hela. Wewe kama unataka tubishane nikuPM namba yangu uniambie tukutane wapi tubishane weeeeeeeeeee siku nzima ila nakuhakikishia nitakushinda tu. Acha mkuu afanye biashara.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
View attachment 76347View attachment 76348View attachment 76349View attachment 76350
mzigo ndio huu.....ni nyinyi tuu....full A/c kitu kimetembea km laki na na sabini/cc 500 six silinda.....lather seat manual
Hata mimi zimenistua, labda ina injini ya bajaji!Mkuu angalia vizuri hizo CC
Nissan partol manual five door black metaric........imetembe kilometa chache ipo oda bado inauzwa bei chee milion 19..... Anae hitaji nipigie 0713935738