Car4Sale Nissan Murano inauzwa

FRGR

Senior Member
Aug 11, 2011
126
56
rangi ni nyekundu....imetembea kidogo...kila kitu kipo vizuri....bei ni 29m...mazungumzo yanakaribishwa kama upo tayari nitafute kupitia 0713 190 118
 
rangi ni nyekundu....imetembea kidogo...kila kitu kipo vizuri....bei ni 29m...mazungumzo yanakaribishwa kama upo tayari nitafute kupitia 0713 190 118

Mkuu FRGR ukiweza kujazia nyama Tangazo lako kwa nwongozo huo chini naona kama itakusaidia plz.

1. Imetembea km ngapi? (Odometer)
2. Imported year:
3. Imported from:
4. YOM:
5. Engine capacity:
6. Fuel consuption:
7. Transmission Auto/Manual?:

Additional information
1. Ac working status
2. Music system CD/MD Player/TV
3. Airbag (availability)
4. Seatcover type pure leather/ plastic
5. Location ilipo sasa:
6. Ilikuwa inatumiwa kwa shuguli zipi? Kupeleka watoto shule/sokoni au kukodishwa?

7. Ilikuwa ibatumiwa na Ke au me (usiignore coz wengi wanaamini gari likituniwa na ke huwa kinatumiwa vzr na kinakuwa katika gali nzuri)

8. Muda wa kuikagua na kui-test

9. Contact:

10.Attach Pictures
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom