Nissan Murano inauzwa

Nissan Murano inauzwa

Habari
Gari aina ya nissan murano mbichi inauzwa,tuwasiliane kwa namba 0719308160 kwa anayehitaji.

Gari ni namba DFC ipo Dar,ipo kwenye hali nzuri sana, Haina tatizo lolote, nyaraka zote za umiliki wa gari zipo, Haidaiwi na ipo kwenye hali nzuri sana
Ahsante
Yaani hii imechubuka hivi ndio unasema gari kali??
Na Mbona Tairi vipara hivi??
Punguza bei bana, 50mil uko juu sana aisee
 
Habari
Gari aina ya nissan murano mbichi inauzwa,tuwasiliane kwa namba 0719308160 kwa anayehitaji.

Gari ni namba DFC ipo Dar,ipo kwenye hali nzuri sana, Haina tatizo lolote, nyaraka zote za umiliki wa gari zipo, Haidaiwi na ipo kwenye hali nzuri sana
Ahsante
PHOTO PLEASE....
 
Sijui kwann watu wanapenda kutangaza biashara hivi.!!!
Unatangaza biashara huweki picha unaogopa nini???
 
Nashukuru gari nimeuza tayari waliokuwa serious tuliwasiliana na kitu kizuri mteja nimempata humu.Thanks JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom