Nissan Murano inauzwa

Nissan Murano inauzwa

nadori

Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
99
Reaction score
63
Habari
Gari aina ya nissan murano mbichi inauzwa,tuwasiliane kwa namba 0719308160 kwa anayehitaji.

Gari ni namba DFC ipo Dar,ipo kwenye hali nzuri sana, Haina tatizo lolote, nyaraka zote za umiliki wa gari zipo, Haidaiwi na ipo kwenye hali nzuri sana
Ahsante
 
Utakuwa dalali namba 3 au 4. Maana huna details za gari. Hata nikikuuliza rangi ya gari si ajabu hujui
 
Habari
Gari aina ya nissan murano mbichi inauzwa,tuwasiliane kwa namba 0719308160 kwa anayehitaji.

Gari ni namba DFC ipo Dar,ipo kwenye hali nzuri sana, Haina tatizo lolote, nyaraka zote za umiliki wa gari zipo, Haidaiwi na ipo kwenye hali nzuri sana
Ahsante
Hata kama lna tatizo sijawa sikia mwenye gari anasema lina tatizo atakayenunua baada ya mwezi tu ndio utaanza kusikia mara linagonga mara linavujisha oil mara lina tatizo kwenye clatch ukimuuliza mwenyewe atakwambia undeshaji wako ndio umeharibu. kueni wakweli sababu ya kuluza na mengine tutaelewa tutatnunua weka picha
 
Gari nzuri sana hiyo mkuu cc 5000 tu bei ndio chee 45m tu dah, haichukui mda hiyo unauza
 
Mnaisifu gari kama vile wengine tumeiona wekeni picha, isitoshe hizo CC 5000 huoni ni balaa la kunywa mafuta lazima itaenda kwa lita 1 km 7 sawa na V8
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom