Nissan inauzwa milioni mbili tu

Mkuu inaonekana vifaa vyake adim sana,ilikaa gereji miaka mingapi?

Ilikaa miezi nane, injini yake ni ya diesel ndio maana ilikuwa inasumbua, waweza funga ya Toyota ikawa iko poa sana
 
O
Cc 1890????? Namba AGB????? Manual???? Hata milioni moja sinunui. Hii gari peleka makumbusho ya taifa au DIT au Veta au NIT ili wanafunzi wakajifunzie walau kupaka rangi na mambo mengineyo kuhusu magari. Halifai kwa matumizi ya binadamu!

tete,tete,tete...kwel una maneno machafu
 
bei yake ni sawa na pikipiki boxer,changamkieni gari vijana muuzie sura mjini
 
Engine yenyewe ya NISSAN inauzwa 3m,sasa hiyo vipi copo au?

Mkuu kuuza kitu bei rahisi sio kama ni kibovu sana yaani nakuuzia ili kikakufie hapana nauza napunguza gari nilizo nazo ndio maana kama mtu yupo interested aje na fundi wake anaemwamini ili aje kuiangalia gari yenyewe ili tuongee biashara
 
Unajua humu ndani nimegundua wengi wetu humu washamba wa magari na wataendelea kuwa washamba wa magari maana wamepata vijigari majuzi majuzi tuu na wanajifanya wanajua magari,kuna wadau wawili watatu humu ndio wanajua magari esp Nissan, Nissan sio gari ya kuchezea kama Vitoyota vyenu vya kucharge umeme kila part, Nissan mwarobaini hiyo ukifunga kifaa unasahau, ukisema unaingia naya barabarani speed yake huigusi kumbuka ni manual,chombo Diesel hiyo sasa Diesel na Petrol inasomeka vp kwa bei?Kitu haina complication ya umeme na ujinga ujinga wa gearbox.
Mdau ningekuwa safi ningechukua chombo hiyo nikaongeza kwenye collection yangu kwa garage.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom