Unajua humu ndani nimegundua wengi wetu humu washamba wa magari na wataendelea kuwa washamba wa magari maana wamepata vijigari majuzi majuzi tuu na wanajifanya wanajua magari,kuna wadau wawili watatu humu ndio wanajua magari esp Nissan, Nissan sio gari ya kuchezea kama Vitoyota vyenu vya kucharge umeme kila part, Nissan mwarobaini hiyo ukifunga kifaa unasahau, ukisema unaingia naya barabarani speed yake huigusi kumbuka ni manual,chombo Diesel hiyo sasa Diesel na Petrol inasomeka vp kwa bei?Kitu haina complication ya umeme na ujinga ujinga wa gearbox.
Mdau ningekuwa safi ningechukua chombo hiyo nikaongeza kwenye collection yangu kwa garage.