Nissan inauzwa milioni mbili tu

Nissan inauzwa milioni mbili tu

Kwa wanayoyajua magari na tuliowahi kuwa na magari tangu enzi za mwalimu hatuna shida hiyo kitu imetulia sana, Mkuu nimeku pm niangalie nafanyaje tufanye biashara.
 
Cc 1890????? Namba AGB????? Manual???? Hata milioni moja sinunui. Hii gari peleka makumbusho ya taifa au DIT au Veta au NIT ili wanafunzi wakajifunzie walau kupaka rangi na mambo mengineyo kuhusu magari. Halifai kwa matumizi ya binadamu!
Huo ni ugonjwa wa moyo mafundi wote hapa mjini lazima wakufahamu
 
Gari million 2???Hata pikipiki boxer HAUWEZI KUPATA.
 
Huo ni ugonjwa wa moyo mafundi wote hapa mjini lazima wakufahamu

Hiyo gari kama ungeiona na ungeangalia na injini yake ndio ungeongea hivyo, wabongo bwana ukiwawekea kitu bei rahisi wanajua kina matatizo, ukiweka bei kubwa ndio wataona kiko powa
 
Huna uelewa wa magari. cc 1890 sio mwaka lililotengenezwa. Unashangaa AGB hujaona AAA huko barabarani? Tusiwe tunatoa comment za kukomoana na kukatishana tamaa bila kuchambua usahihi wa coment zetu. Osaba gari inauzika kabisa hiyo kitu maelewano tu!

Mkuu achana nae huyo,inaonekana jamaa ni mbumbumbu mzungu wa reli balaa yaani anashangaa namba AGB...kwa taarifa yake mimi jana nimetoka mbeya kwenda mwanza na gari yangu namba ADQ bila tatizo hata kidogo,humo njiani unawapita watu wamefungua boneti gari zao zimechemsha wakati mimi kitu kinasoma 140km/h.
Anyway kwenye magari reg no sio issue.
 
Last edited by a moderator:
Cc 1890????? Namba AGB????? Manual???? Hata milioni moja sinunui. Hii gari peleka makumbusho ya taifa au DIT au Veta au NIT ili wanafunzi wakajifunzie walau kupaka rangi na mambo mengineyo kuhusu magari. Halifai kwa matumizi ya binadamu!

mkuu acha dharau ina maana DIT ndio wa kujifunzia gari bovu? Unaifahamu DIT wewe?
 
Nishaliuza wewe kwa bei nzuri tu na aliyelinunua hadi leo hajalalamika na linapiga kazi kama kawa

Nna Toyota carina model ya 97, gari iko vizuri kuanzia body, engine, ndani bei ni 4mln mazungumzo yapo...ukipata mteja nistue, gari iko DSM,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom