Car4Sale Nissan civilian bus kali inauzwa m 14

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,188
7,490
Wakuu, nauza nisan civilian bus kali m. 14.Gari iko mzigoni kko-goms, kuiona gari njoo na fundi wako. Sababu za kuiuza mwenye gari anahamia dodoma.
Mawasiliano 0685247148
b66df93031694d3936954ee8114505d8.jpg
aa5a4ef1d58496431e8e45021ffe87ab.jpg
297eaf26207909ced39a1a966c8dc757.jpg
817be56966adef0a2c262e7626e93d19.jpg
 
ushapata mteja maana kwa uku itafaa sana lukobe-mjini.....
 
Haina tatizo lolote ila nimehamishwa kikazi sasa usimamizi unakuwa mgumu sana na gari inahitaji isimamizi. Bei bia inajadilika. Karibu

Mkuu me nipo tayari kuichukua nitafute PM tafadhali ila ukinitafuta naomba nipe maelezo kwa siku inalaza kiasi gani na gharama zake kwa ujumla na tutafanya biashara bila tatizo kabisaaa......na uniambie namna ya kuimudu kama ulivyokuwa unafanya wewe alafu tuone nini cha kufanya.....sema kwenye bei tutaongea vizuri ika I am serious....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom