C Calist Senior Member Joined Dec 17, 2010 Posts 130 Reaction score 7 Nov 28, 2011 #1 mchuma huo unauzwa shs M6 tu anaondoka na mchuma, ni manual t, gia tano, ina dif, cc 1400, mwaka 1992, iko katika hali nzuri unajaza mafuta unasepa. Lete mapesa
mchuma huo unauzwa shs M6 tu anaondoka na mchuma, ni manual t, gia tano, ina dif, cc 1400, mwaka 1992, iko katika hali nzuri unajaza mafuta unasepa. Lete mapesa
SMU JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 9,613 Reaction score 7,902 Nov 28, 2011 #2 Mkuu kina beba kilo ngapi?