Nisomee faculty gan degree yangu ya pili?

Nisomee faculty gan degree yangu ya pili?

kindoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
213
Reaction score
218
Nimemaliza degree yangu ya kwanza mwaka huu mwanzoni ktk chuo kikuu huria tanzania na nilisoma bachelor of social work na nilifaulu kwa GPA ya 4.3, sasa ninaomba ushauri nisome faculty ipi kwenye masters?? kati ya sociology na human resource

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Kama pioneer katika sector ya elimu nakushauri ukasomee human resources&management
 
Huenda sisi tusiosoma uelewe wetu uko chini sana yaani mtu mpaka unafika ngazi ya degree hujui kufanya maamuzi yako mwenyewe sisi wa form 4 failure tusemeje jamani nyie wasomi tunawategea mjue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu,mimi naona bora socialogy mana ina uwanja mkubwa wa ajira hasa kwenye NGOs na kwenye halmashauri. Halafu mkuu mwezi october mimi pia nataka nipige msuli pale OPEN (b.a in socialogy) mana nna dip ya social work.,naomba unipe a,b,c kidogo hasa changamoto za kusoma na kupiga mtihani, na gharama.,mana nimepitia website kuna mambo hawajayaweka wazi,wameeleza kwa kifupi sana
 
Habar Ndugu
Nina Mdogo wangu anataka kwenda kusoma Diploma ya Social Work naomba unieleweshe upande wa ajira zake yaani mtu anakuwa na nani na anafanyia kazi wapi lakin pia vipi kuhusu upatikanaji wake wa ajira kwa sasa?
 
Back
Top Bottom