Nisome masters ipi ya utawala

uvungu

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
384
127
Wadau naombeni Ushauri nataka kufanya master je ni master ipi ya utawala nikasome kati ya HR, PSPA, PA,MBA Na nyingine mnazozifahamu
 
nakushauri kasome MBA hiyo utapewa masters yako fasta tyuu

au kasome master of philosophy
 
Kasome Masters Zooote lakini sio Masters in philosophy. Ni ngumu Sana unless umesoma Bachelor yake Nakwambia hvo coz mi nimesoma Bachelor yake (Bachelor of philosophy with education) Ni ngumu Sana sema kiroho mbaya vile nilifaulu vizuri Sana but kichwa yako ijipange vizuri
 
Back
Top Bottom