Nisome kozi gani ili niweze kutengeneza blogs na websites

w3school wanafundisha bure hiyo course online inaitwa web design and web development.
 
ni hayo tu wakuu ntashukuru kwa msaada

Mkuu kama unaweza ingia class nakushauri japo na hizi za mtandaoni zina msaada lakin ukiwa na foundation ya baadhi ya vitu itakua vizuri

Mfano
Watu wengi wanadhani website au blog ni kuingia na kuanza kucode tu wengine wamesimplfy zaidi na kutumia templates ambazo Iko tayari ni kubadili tu maneno. Baada ya hapo mtu anajiita developer. Wanasahau kuna vitu kama security, system analysis and design na mengine mengi. Chukulia pia mfano wataka kudevelop complex system ya makampuniakubwa kama Barrick na unafoundation tu ya kimtandao wakati wale ni watu wanahtaj vitu vya ziada. Simply kwenye web development ni kama tu unavotaka develop systems nyingine ambazo si hata web based. Kuna steps za kufata kama system analysis and design pia kuna kitu tunaita human computer interface design ukishakua na uelewa wa hivi vitu ni mtaji tosha.

mtafute Stefano Mtangoo au Nyasiro na C6 hawa nadhani kuna kipindi flan walikua wanafundisha madhani mpaka bado watakua wanafundisha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom