Vampire 99
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 108
- 63
Wakuu kwema.
Nisaidieni ushauri kidogo, nina certificate ya uhasibu na diploma ya kwanza ya uhasibu kwasababu ya changamoto kidogo nilipostpone mwaka wa pili ya diploma yangu ya uhasibu, kwa bahati nzuri narudi kuendelea na shule ila nilikuwa nataka niache kwanza diploma ya pili ya uhasibu ili nikachukue certificate ya tour guide and tourism. Kwa upande wangu napenda wanyama pori, na mwanzo kabisa nilijaribu kuaply kozi ya tourism mweka na pasiansis, lakini sikuweza kufikia kile kiwango cha ada ila ilikuwa mwanzo kabisa kabla sajaanza kusoma uhasibu nilikuwa sina option nyingine kwa kipindi hicho.
Wakuu karibuni naamini kunawaliopitia na wanazijua hizi sector mbili vizuri.