Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 19,794
- 41,912
Kama unataka kuwa mhasibu soma CPA japo usisahau hili, vyeti sio tiketi ya kufanikiwa maisha. Hapo umepata elimu ya shule, huku mtaani napo kuna elimu zake na hapo ndipo utamkuta CPA mwenye muhuri anategemea connection za kazi kutoka kwa certificate au diploma, analetewa kazi analipwa kidogo kuliko asiye na muhuri.