Nisome CPA au niache?

Nisome CPA au niache?

zeeble

Member
Joined
Jan 4, 2022
Posts
34
Reaction score
30
Habari xenu wakuu, natumai ni wazima wa afya. Kama Kuna mtu ana hitilafu yeyote kiafya basi nichukue nafasi hii nimpe pole sana.

Dhumuni la kuja hewani leo ndugu zangu, kaka zangu, dada zangu na wakubwa wangu ni kuomba ushauri kwenu mm hivi karibuni natarajia nimalize elimu yangu shahada ya kwanza ya uhasibu wa umma na fedha 2022 katika chuo kinachotambulika na serikari hapa nchini.

Niliwahi kuulizia sehemu tofaut tofaut kuhusu CPA nilieleweshwa na Nina kaufahamu kidogo. Kuna baadhi ya watu walinishauri kusoma CPA itakula mda wako tu Kwa sababu wapo wengi sana waliosoma na maswala ya ajira Bado kwao changamoto wakaniambia ni kheri hiyo exam fees na tuition fees nianze business yeyote huku nikitafuta internship niwa na experience kwenye mambo ya uhasibu.

PIA Kuna wengne walinishauri kma unataka kuwa competent katika ajira hasa za uhasibu CPA ni sehemu sahii sana kwani hauchelew kupata kazi. Pia hata baadhi ya lectures wanatushauri sana tukimaliza tukafanye mitihan hyo. Najua humu Kuna watu wana weled sana na walishaingia kwenye mifumo hiyo inachoumiza kichwa zaidi mm Sina connection.

Je, uamuzi gani nichukue wakuu?

Natanguliza shukran kwenu
 
Kuna watu ukiwaomba ushauri ni kama unajitumbikiza motoni,watakupa mawazo ya kukukatisha tamaa ili usifanikiwe na ukiwasikiliza umekwenda na maji.

Watakwambia usisome CPA kuwa unapoteza muda lakini wakati huo huo na wao wana CPA /wengine wanafanya kazi ya kufeli na kurudia mradi wapate CPA..
Ni roho mbaya tu.

Mkuu hakuna Elimu iliyowahikumtupa mtu..unaweza kuchelewa kuishi maisha unayoyatamani lakini siku moja utayaishi tu(ukiwa na ndoto lakini)

Usijaribu kuishi maisha ya mtu ishi kile kilichondani yako.

Ingia darasani piga CPA yako na Mungu akutangulie.
Mtu mwenye ndoto ndani yake akiisimamia hawezi kufeli hata kama atakutana na changamoto kiasi gani kwenye maisha.
 
Kasome ukowap Tena ungejisomea hata evening class Kama ingekua dar wezako wamejazana pale mnazi mmoja shule ya msingi pale

Ilasikuachi na dongo calculator imekuathiri pakubwa unaandika hata mstari (space) huruki ...lapili SoMo la mwandiko mwl mahera hukumuelewa nn
 
Asante mkuu Kwa ushauri wako
 
Habari xenu wakuu, natumai ni wazima wa afya. Kama Kuna mtu ana hitilafu yeyote kiafya basi nichukue nafasi hii nimpe pole sana.

Dhumuni la kuja hewani leo ndugu zangu, kaka zangu, dada zangu na wakubwa wangu ni kuomba ushauri kwenu mm hivi karibuni natarajia nimalize elimu yangu shahada ya kwanza ya uhasibu wa umma na fedha 2022 katika chuo kinachotambulika na serikari hapa nchini.

Niliwahi kuulizia sehemu tofaut tofaut kuhusu CPA nilieleweshwa na Nina kaufahamu kidogo. Kuna baadhi ya watu walinishauri kusoma CPA itakula mda wako tu Kwa sababu wapo wengi sana waliosoma na maswala ya ajira Bado kwao changamoto wakaniambia ni kheri hiyo exam fees na tuition fees nianze business yeyote huku nikitafuta internship niwa na experience kwenye mambo ya uhasibu.

PIA Kuna wengne walinishauri kma unataka kuwa competent katika ajira hasa za uhasibu CPA ni sehemu sahii sana kwani hauchelew kupata kazi. Pia hata baadhi ya lectures wanatushauri sana tukimaliza tukafanye mitihan hyo. Najua humu Kuna watu wana weled sana na walishaingia kwenye mifumo hiyo inachoumiza kichwa zaidi mm Sina connection.

Je, uamuzi gani nichukue wakuu?

Natanguliza shukran kwenu
Ushauri mzuri munooo, Hata mimi umenigusa
 
Tafuta ajira ndugu,huku unasoma CPA,kwenye CV yako inaongeza kitu Ila usisome tu ukasahau kutafuta ajira ukimaliza utashangaa Sana
 
Back
Top Bottom