Nisipojiangalia kwa hili nahisi sintoshuhudia uchaguzi mkuu wa 2020

Sijawahi kuona ama kusikia rais anafurahia mateso ya wananchi wake tena kwa uwazi kabisa
 
Ilo ni jipu ndugu likamue tu maana usipolikamua jua umeharibu kila kitu maana ukiona kafika stage iyo jua yuko tayar kwa lolote.usipolitumbua Yatakukuta yale ya yule dogo anaitwa yusuph kwenye bible.Believe me.
 
Duh..... hapo mkuu umenena
 
Back
Top Bottom