Someone I know amepata mimba,sasa kuna mkaka alikuwa anampenda sana huyo dada, ivi sasa navoandika yuko busy anambembeleza huyo dada amsingizie na kukomaa kuwa mimba ni yake amuoe ivoivo#mahabaniue#
Inawezekana....Hatuwezijua pengine hana kizazi
itakuwa ana matatizo ya akili wallah