Nishaurini Series bora ya kuangalia

24: live another day (10 episode up to now)
black list (one season is complete)
Orphan black( two seasons yet)
The 100( one complete season yet)
Dexter ( full series)
Breaking bad( full series)
Tyrant (new only three episode)
Hizo mkuu zitafute hutajilaumu.....
 
kwa sasa niko na hostages, ni nzuri pia, kama upo dsm inapatikana kama soft copy njoo hapa mlimani city, opp lango la in/out upande wa survey:hail:
 

Mkuu kuna nyingine inaitwa the outcast inamaudhui ka ya the 100 nipe details za tyrant niishushe now ka iko vizuri!
 
Mkuu hii tyrant ni habari nyingine nimeona tatu tu cjajua inatoka lini.!!
 
Wadau naombeni mnisaidie series nzuri ya kuangalia
Series zimegawanyika,tuambie unapenda aina gani kana na romantic,action,sc-fi,za kikorea(ziko za mapanga,action zakisasa,mapenzi)

Nimesema hivi mana napenda spactus(lakini wengine hawaipend mana ina ngono mwanzo mwisho.Upande wa kikorea napenda series za kistoria nying zina mapiganoya kimapanga lakini wengine wanapenda kikorea za kimapenzi
 

Nataka action
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…