worldsama1
Member
- Mar 3, 2018
- 17
- 1
.
Ungekuwa unataka usome diploma hapo sawa tungekushauri IPI usome kwa wakati huu.lakin mambo yenywe ya kwenda advance tena mpaka 2020!!Nilikuwa naomba ushauri wenu
Mimi ni mwanafunzi nlieitimu kidato cha NNE mwaka 2017.
Pia nilikuwa nataka nkasome advance PCM alafu
Chuo nisome cyber security ,hila nasikia kunatatizo LA ajira katika course hiyo.
Kwahiyo nishaurini nichukue mining engineering, electrical engineering au cyber security ajira zipo nisome hiyo hiyo.
Na pia katika ushauri wenu naomba mnipe sababu kwanini unashauri ivyo
(Wataalam naombeni ushauri apo)
Asante mkuuUzuri program zote ulizotaja kwa chuo zinahitaji kwa hapa bongo uchukue PCM-hivyo nenda Advance. Meanwhile zisome uzielewe ipi ni ipi. Kwa ushauri wangu ukifika chuo chukua ile ambayo wewe unaona iko moyoni kwako. Kuhusu ajira ni mambo yanayo geuka geuka lakini labda wajuvi watakujuza zaidi. Mimi sioni ubaya mtu kujenga malengi yake mapema hasa kwa scenario kama yako kwani uamuzi wenyewe utaufanyia kazi baada ya kupata matokeo ya F6.
Maliza advance ufaulu halaf rudi kuomba ushauri
Pambana kwanza na advance utoboe, course utawazia baadae.
advanc yenyew hujui utatokaje. . soma kwanza acha tamaa.... waliotanguliza ayoo mambo kama wew apoo pcm ziliwatokea puan... angalia yasikutokee miguuni uko katii
Dogo nenda kwanza shule hayo mambo uje kuulza 2020 utajibiwa vzur
Hii inaonyesha wabongo tusivyo na future plans yaani ya kesho yatajulikana kesho na sio leo!!soma kwanza ukija kuomba ushauri uwe na matokeo yako ndo watu wakushauri advance si mchezo kapambane dogo
Dogo nakushauri kama unataka ajira na kama unaplans za kusoma pcm basi jiandae kwa electrical, civil au mechanical engineering!Nilikuwa naomba ushauri wenu