Nishaurini: Nisomee mining engineering, electrical engineering au cyber security ?

Nishaurini: Nisomee mining engineering, electrical engineering au cyber security ?

Gooooosh nikajua hata advance umepiga!Kamalize Advance uje na upigie Cyber security!ni tamu saaana
 
Hatuwezi kujadili matokeo ya kufikirika ,soma kwanza upate matokeo

Ila kifupi tu kama huna connection Mining Engineering usiguse,utakua mwalimu
 
Achana na mining projection yake imekaaa kimitego ....politics zmetake control jaribu kwingine hata electrical syo mbaya unaweza hata jiajiri.....cyber security ni kama mpya vle sjui after 6 yrs mambo yataendaje...labda serikali itahitaji wataalam wa cyber crime kwa jinsi ya kasi ya awamu ya tano inavyoenda
 
Mining Engneering imebuma kwasasa hata kujiajiri ni ngumu sana bora mineral processing engineering at least waweza kujiajiri.
 
Wewe Moyo wako unataka nini? Kufanya kitu unachokipenda no moja ya ndoto
 
Unasoma ili uajiriwe na siyo kujiajiri? maajabu haya
 
Ushatengeneza options sasa advance unaenda kufanya nini
Kati ya hizo kasome Electrical engineering DIT au ATC(chukua hili wazo utalikumbuka 2020)
Nilikuwa naomba ushauri wenu
Mimi ni mwanafunzi nlieitimu kidato cha NNE mwaka 2017.

Pia nilikuwa nataka nkasome advance PCM alafu
Chuo nisome cyber security ,hila nasikia kunatatizo LA ajira katika course hiyo.

Kwahiyo nishaurini nichukue mining engineering, electrical engineering au cyber security ajira zipo nisome hiyo hiyo.

Na pia katika ushauri wenu naomba mnipe sababu kwanini unashauri ivyo

(Wataalam naombeni ushauri apo)
 
Duh! Dogo hata form 6 hujafaulu unaulizia kozi ya kusoma chuo!!! Em kaimalize kwanza Physics na Pure Maths halafu urudi hapa utupe mrejesho kwanza kama umefaulu ndo uombe huu ushauri.. Maana nyie watoto mkifaulu hizi form 4 zenu mnahisi mshafaulu kila kitu adi unaanza kuwaza chuo kusoma nini.. Kuna miaka ya ajabu sana ya A'lvl.. Watu wanaingia na PCM wanamaliza HKL.. em kasome kwanza.. Nadhani inabidi uwe tuition saiv kujiandaa na A'lvl..

Soma Kwanza.. Mengine jiandae nayo ukishaona una dalili za kuchomoka Form 6
 
Sawa mkuu nimekuelewa sana.

Kwanza advance inachangamoto sana hila kila MTU anauwezo wake .

Ndugu yangu Mimi huwa napenda kujiandaa mapema sana hili kama kitu kinaitaji connection basi niziandae mapema.

Lengo ni kujua coz gani ni nzuri zaidi na inasoko na kwanini zingine unishauri kuchukuwa.

Matokeo PCM Fanya 1.9 CCC.

"Lengo kujua coz gani ni nzuri zaidi na inasoko na kwanini"

Zingatia lengo

Asante!!!
Dogo kupata hizo CCC sio rahisi kama unavoziandika mdogo angu.. Anaepata hivo ni yule ambae kwake A'level imekuwa nyepesi.. Natamani ningekuona hata nkushauri face to face.. Una mawazo mepesi sana unaonekana mdogo angu.. Embu tafuta msomi mmoja akushauri huko ulipo
 
Ushauri wangu ni Cyber Security. Usiwaze kuajiriwa hutafika popote. Waza kuwa Consultant. Karibia kila ofisi ina Internet ila haijui chochote kuhusu cyber security. Komaa uone utakavyo win.
 
Kwanza kabisa asante kwa kusoma post yangu.

Ndugu yangu naelewa advance ngumu hila kila MTU anauwezo wake.
Napenda kujipanga mapema kama connections niandae mapema

Lengo LA kuandika post hii ni kujua tu coz gani nzuri zaidi na inasoko .pia na kwanini zingine sio nzuri.

Matokeo advance PCM Fanya 1.9 CCC.

"Lengo kujua coz gani inasoko na nzuri zaidi" zingatia lengo

Asante!!
Kijana CCC pcm au pcb sio masihala
 
Nilikuwa naomba ushauri wenu
Mimi ni mwanafunzi nlieitimu kidato cha NNE mwaka 2017.

Pia nilikuwa nataka nkasome advance PCM alafu
Chuo nisome cyber security ,hila nasikia kunatatizo LA ajira katika course hiyo.

Kwahiyo nishaurini nichukue mining engineering, electrical engineering au cyber security ajira zipo nisome hiyo hiyo.

Na pia katika ushauri wenu naomba mnipe sababu kwanini unashauri ivyo

(Wataalam naombeni ushauri apo)

kwanza unahitaji kuikumbuka ndoto yako (kama ulikuwa nayo wakati unaanza shule) Kama bado imo kwenye ulicho achieve mpaka sasa angalia katika fani hizo tatu ipi inafiti the best with that dream. then follow that. ukija hapa jamvini watu watakuchagulia fani based on their dreams, achievements, failures, irresponsibilities zilizowafanya washindwe au some other aspect ambayo sio lazima iwe true with you. mtu atakwambia mining inachukua muda mrefu kusoma. jiulize kwa nini bado inafundishwa. au atakwambia kasome law kwa sababu yeye ni mbishi na kamuona somebody mmoja tu aliyefanikiwa katika law lakini labda sio kwa some orthodox means. yapo mambo mengi ya kutafakari lakini anza na wewe mwenyewe una nini mkononi, unataka kufika wapi. maisha hakuna kuchelewa na kila mmoja anauwezo wa kufika anapopataka akiweka juhudi ya kiakili, kirasilimali and physically panapotakiwa. tafuta ushauri wa kufaa lakini uupime kabla ya kuuchukua. but you first need to have a dream of your own.
 
Just follow your dreams, what you need the most.... Usipende kufanya kitu Kwa kisingizio cha ajira. Kama ajira hamna unajiajiri mwenyewe acha uoga.

PCM sio combination rahisi but ni nyepesi saaaaana ukiweka juhudi.

Na kama your heart beats for Cyber Security..... Ukimaliza form six, tafuta scholarship za China, Korea ama Japan. I assure you kule kazi za Computer Engineering, Cyber Zina hella sana kama unautaalam mzuri katika mambo hayo.... Usitizame ajira za TZ pekee jiweke wa Kimataifa. Komaa usome nje kama si degree au Master. Utanikumbuka uzeeni
 
Dogo piga kitabu kwanza, huko mbele utajua cha kufanya.
Ila nakushauri usiwazie sana kozi za kuajiriwa. Mambo yame badilika sana fikiria jinsi ya kujiongezea ubunifu wako.
Wengine mavyeti yanaliwa na panya tunafanya mambo mengine.
 
kwanza unahitaji kuikumbuka ndoto yako (kama ulikuwa nayo wakati unaanza shule) Kama bado imo kwenye ulicho achieve mpaka sasa angalia katika fani hizo tatu ipi inafiti the best with that dream. then follow that. ukija hapa jamvini watu watakuchagulia fani based on their dreams, achievements, failures, irresponsibilities zilizowafanya washindwe au some other aspect ambayo sio lazima iwe true with you. mtu atakwambia mining inachukua muda mrefu kusoma. jiulize kwa nini bado inafundishwa. au atakwambia kasome law kwa sababu yeye ni mbishi na kamuona somebody mmoja tu aliyefanikiwa katika law lakini labda sio kwa some orthodox means. yapo mambo mengi ya kutafakari lakini anza na wewe mwenyewe una nini mkononi, unataka kufika wapi. maisha hakuna kuchelewa na kila mmoja anauwezo wa kufika anapopataka akiweka juhudi ya kiakili, kirasilimali and physically panapotakiwa. tafuta ushauri wa kufaa lakini uupime kabla ya kuuchukua. but you first need to have a dream of your own.
Asante sana mkuu.

Nazingatia nguzo zangu
 
Back
Top Bottom