Nishaurini: Nisomee mining engineering, electrical engineering au cyber security ?

Inferior Complex

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
3,638
2,000
Nilikuwa naomba ushauri wenu
Mimi ni mwanafunzi nlieitimu kidato cha NNE mwaka 2017.

Pia nilikuwa nataka nkasome advance PCM alafu
Chuo nisome cyber security ,hila nasikia kunatatizo LA ajira katika course hiyo.

Kwahiyo nishaurini nichukue mining engineering, electrical engineering au cyber security ajira zipo nisome hiyo hiyo.

Na pia katika ushauri wenu naomba mnipe sababu kwanini unashauri ivyo

(Wataalam naombeni ushauri apo)
Ungekuwa unataka usome diploma hapo sawa tungekushauri IPI usome kwa wakati huu.lakin mambo yenywe ya kwenda advance tena mpaka 2020!!
Dogo likizo na story za advance zisikutie mushawasha
Acha ujinga kasome kwanza urudi tukushauri!! Unless otherwise unataka tujue na wewe unaenda Advance!!
Oky kapige 1:3 kuwa T.O unaweza pata sponsor ya kwenda ng'ambo utasoma lolote!!
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,997
2,000
Uzuri program zote ulizotaja kwa chuo zinahitaji kwa hapa bongo uchukue PCM-hivyo nenda Advance. Meanwhile zisome uzielewe ipi ni ipi. Kwa ushauri wangu ukifika chuo chukua ile ambayo wewe unaona iko moyoni kwako. Kuhusu ajira ni mambo yanayo geuka geuka lakini labda wajuvi watakujuza zaidi. Mimi sioni ubaya mtu kujenga malengi yake mapema hasa kwa scenario kama yako kwani uamuzi wenyewe utaufanyia kazi baada ya kupata matokeo ya F6.
 
worldsama1

Member
Mar 3, 2018
17
45

Asante mkuu
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,899
2,000
Maliza advance ufaulu halaf rudi kuomba ushauri

Pambana kwanza na advance utoboe, course utawazia baadae.

advanc yenyew hujui utatokaje. . soma kwanza acha tamaa.... waliotanguliza ayoo mambo kama wew apoo pcm ziliwatokea puan... angalia yasikutokee miguuni uko katii

Dogo nenda kwanza shule hayo mambo uje kuulza 2020 utajibiwa vzur

soma kwanza ukija kuomba ushauri uwe na matokeo yako ndo watu wakushauri advance si mchezo kapambane dogo
Hii inaonyesha wabongo tusivyo na future plans yaani ya kesho yatajulikana kesho na sio leo!!

Mimi nampongeza dogo maana inaonyesha ni mtu ana plans na anapangilia mambo kuliko nyie mnaomwambia angoje amalize advance kwanza ndio ajue atasomea nini!!
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,899
2,000
Nilikuwa naomba ushauri wenu
Mimi ni mwanafunzi nlieitimu kidato cha NNE mwaka 2017.

Pia nilikuwa nataka nkasome advance PCM alafu
Chuo nisome cyber security ,hila nasikia kunatatizo LA ajira katika course hiyo.

Kwahiyo nishaurini nichukue mining engineering, electrical engineering au cyber security ajira zipo nisome hiyo hiyo.

Na pia katika ushauri wenu naomba mnipe sababu kwanini unashauri ivyo

(Wataalam naombeni ushauri apo)
Dogo nakushauri kama unataka ajira na kama unaplans za kusoma pcm basi jiandae kwa electrical, civil au mechanical engineering!

Cyber security ni nzuri ila ajira zake ndio mziki ila kwa kujiajiri ni rahisi, na kama una penda mambo ya computer na cyber security basi kasome computer engineering au software engineering ambazo kidogo zina wigo mpana na ndani ya hizi kozi utasoma pia cyber security!!

Mining kwa sasa sikushauri sana ila sijajua miaka hiyo itakuaje!! All in all civil, electrical na mechanical ndio kada kuu za uhandisi na hizi huwezi kosa ajira au kujiajiri ukiwa na netwek nzuri!!
 
apakak

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
896
1,000
Mining haina soko migodi inafungwa. Wewe mbaka umalize ni miaka 6 baadae
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom