Mke wa Ayoub
New Member
- Aug 6, 2013
- 2
- 0
ninakaribia kufunga ndoa, nikiwa ndo naingia mwaka wa mwisho wa masomo. ninchojiulizaa ni kwama ninatakiwa kushika ujauzito mda gani? maana nikiwa chuo watu wanasema mimba yaweza nisumbua nisisome vizuri. kuna mamlaka moja inaweza kutoa nafasi ya fani yangu mwakani ambapo nitakuwa nimemaliza chuo nikiwa mjamzito siwezi kupata maana hawawezi kuajiri mtu ambaye mda mfupi atachukua maternity leave na ni sehemu yenye mshahara mnono.nkisema nisubiri nimalize chuo na kufanya kazi kidogo ndoa yangu itakuwa na miaka mi3, na nnaogopa sana maneno ya mawifi mana ana madada wa5 ukizingatia mume mwenyewe ana mtoto tayari:help: