Irene marwa
Member
- Jul 25, 2020
- 35
- 36
Kwahiyo wewe ofu yako ipo juu ya kuvaa uniform uku ukiwa na mimba au juu ya wazazi wako.
Sio sahihi wazazi kutojua hili swala.sihitaji kuwaelezea wazazi kwasas mpka ntakapomaliza chuo na kutoa mimba siwezi kabisa nishaurini mdogo wenu nifanye nn
Mwezi wa 5 ivi utakua Usha jifungua amna haja ya kuwaambia utawaplekea tu mjukuuu
Kwani vyuo vinawafukuzawajawazito/waliopata mimba wakiwa chuoni?
Kama wanaruhusu, elekeza mawazo yako kweye masomo. Achana na kuwaza habari za kuwaza mimba.Wanaruhusu
Kuna msichana alikuwa anasoma chuo fulani kati ya huko mwanza au moshi namfahamu. Mwaka juzi alirudi home kwa wazazi wake akiwa na mtoto,wazazi wakashangaa,ksbb walikuwa hawana taarifa kabisa ya ujauzito,alikuja kuwa-suplies na kichanga, lakini maisha yakaendelea...
Kwanza lazima wazazi wafahamu mapema hilo swala sababu hata baadae ukitaka ndo uwaambie bado watapiga hesabu na kugundua uliipata mimba shuleni, nadhan hofu yako kuu iko hapo kwa wazazi...