Nishaurini kuhusu Nissan Pathfinder

hanti

Member
Nov 27, 2013
83
10
Habari za jioni wakuu, Ninafikiria kuigiza gari aina ya Nissan pathfinder Japan lakini kabla ya hapo naomba mnisaidie kujua kama haya magari yana matatizo na pia spare Zake upatikanaji na cost zikoje. Natanguliza shukrani za dhati
 
1452877497360.jpg
1452877520793.jpg
1452877545437.jpg
1452877520793.jpg

Nalikubali sana hili gari, ngoja niweke pic mkuu​
 
Huu msemo kuuza ni shida upo sana kwa watanzania wasiojitambua' mtu kaulizia ubora Wa gari hili, mnamuambia kuuza ni vigumu ! Kwani amesema anataka kufanya biashara?

Na wengi wanaowahi kukomenti ni wale wamiliki gari zisizo na kick

Hivi mnataka wote tutembelee iCT ' collora, vits, passo nk

Msipende kukatishana tamaa kwa vitu msivyokuwa na idea Navy

Kukaa kimya ni sehemu ya busara pia.
 
Nissani ni gari ambazo hazitaki mmliki mwenye pesa za mawazo na mambo ya kuunga unga.

Yana hitaji service sahihi na spare zake ziwe za uhakika sio unanunua ili mradi.
 
Huu msemo kuuza ni shida upo sana kwa watanzania wasiojitambua' mtu kaulizia ubora Wa gari hili, mnamuambia kuuza ni vigumu ! Kwani amesema anataka kufanya biashara?

Na wengi wanaowahi kukomenti ni wale wamiliki gari zisizo na kick

Hivi mnataka wote tutembelee iCT ' collora, vits, passo nk

Msipende kukatishana tamaa kwa vitu msivyokuwa na idea Navy

Kukaa kimya ni sehemu ya busara pia.
igwee frm anambra
 
Habari za jioni wakuu, Ninafikiria kuigiza gari aina ya Nissan pathfinder Japan lakini kabla ya hapo naomba mnisaidie kujua kama haya magari yana matatizo na pia spare Zake upatikanaji na cost zikoje. Natanguliza shukrani za dhati
Haina tofauti na NISSAN NAVARA kwenye spares(zinaingiliana)....spares zipo ila bei ni juu kidogo ukilinganisha gari ambazo wengi wamezoea kama rav4,corolla
 
Gari nzuri sana. Sisi tunanunua magari kwa mazoea ndio maana watu wamekariri gari ni Toyota. Nissan ni imara sana isipokua vipuri vyake bei ni juu kidogo, lakini pamoja nakuwa vipuri bei juu vingi ni halisia.

Inasumbua kuuza si kwakuwa si imara ila ni kwasababu tu walio wengi wetu tunaaamini gari Toyota hadi kipuri cha buku unapata. Nimewahi kutumia sana pathfinder version ya nyuma sikuwahi pata tatizo lolote la engine au umeme zaidi ya miaka 5 hadi nilipouza.
 
Habari za jioni wakuu, Ninafikiria kuigiza gari aina ya Nissan pathfinder Japan lakini kabla ya hapo naomba mnisaidie kujua kama haya magari yana matatizo na pia spare Zake upatikanaji na cost zikoje. Natanguliza shukrani za dhati
Hii gari nzuri sana kwa experience yangu ina kimbia vibaya sana tatizo spear zake ni ya ghali sana ila kama ni ya matumizi yako mwenyewe sio pool car utaipenda very fuel efficiency six speed ukiweka mafuta full tank unasahau
 
Wa bongo aisee tunamawazo ya kimasikin sana,habari za kutumia mafuta sijui speak kua juu zinatoka wapi?afu utakuta MTU anaeshauri kuhusu mafuta anatumia ki passo.
.real men use three pedals.
 
Back
Top Bottom