Nishaurini kuhusu mpenzi wangu, ana tatizo la kuwa na maji mengi ukeni

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,232
113,610
Bila shaka mu wazima mukheri wa afya njema, imenilazimu niandike humu kuomba msaada wenu wa ushauri, sielewi ni nini kimenipata, nilikuwa na demu wangu ninaempenda saana,sababu mm ndiyo niliyemtoa usichana wake, nimekuanae kwa Muda wa miezi kadhaa ghafla yule dada akaanza Kuwa na maji ukeni kitu ambacho sikifurahii, hadi nilishawahi leta mada humu jamvini mnishauri jinsi ya kuyapunguza kama c kuyaondoa kabisaa, pia nilisha mkataza kula ndizi na nyanya chungu coz nimpenzi wa hivo vitu. Nikakaa miezi kadhaa Bila kukutana naye kimwili coz nilisafiri kidogo baada ya miezi mnne nilipokutana nae nikakuta Hali ni Ile ile, kiukweli niliamua kumkwepa kimtindo japo sikumwwleza direct, ila sasa juzi nimeona bandiko la rubii humu kuhusu wanawake kupiga nyeto, nikagundua huenda demu wangu nae ni muumini wa nyeto, coz kutokana na bandiko lile ni athari anazopata mwanamke ni pamoja uke kutoa maji wakati wa tendo, je anaweza kurudia Hali yake ya kawaida kweli? Baado namuhitaji nisaidieni tafadhali

Huyo mchuchu wako ana Dawasco hapo kati?
 
Ni pm namba zake mie maji ndo ugonjwa wangu
Ww tafuta wakavu mie nipe huyo Wa kuchemsha
 
Bila shaka mu wazima mukheri wa afya njema, imenilazimu niandike humu kuomba msaada wenu wa ushauri, sielewi ni nini kimenipata, nilikuwa na demu wangu ninaempenda saana,sababu mm ndiyo niliyemtoa usichana wake, nimekuanae kwa Muda wa miezi kadhaa ghafla yule dada akaanza Kuwa na maji ukeni kitu ambacho sikifurahii, hadi nilishawahi leta mada humu jamvini mnishauri jinsi ya kuyapunguza kama c kuyaondoa kabisaa, pia nilisha mkataza kula ndizi na nyanya chungu coz nimpenzi wa hivo vitu. Nikakaa miezi kadhaa Bila kukutana naye kimwili coz nilisafiri kidogo baada ya miezi mnne nilipokutana nae nikakuta Hali ni Ile ile, kiukweli niliamua kumkwepa kimtindo japo sikumwwleza direct, ila sasa juzi nimeona bandiko la rubii humu kuhusu wanawake kupiga nyeto, nikagundua huenda demu wangu nae ni muumini wa nyeto, coz kutokana na bandiko lile ni athari anazopata mwanamke ni pamoja uke kutoa maji wakati wa tendo, je anaweza kurudia Hali yake ya kawaida kweli? Baado namuhitaji nisaidieni tafadhali
Nipe namba yake nimuulize vizuri na nimshauri.. njoo inbox
 
N kweli huwez kuishi kwa mabandiko ya JF lkn sometimes ushauri wa watu huwa unasaidia... tuache masihara....jamaa ana shida...tumshauri.....
wap Rubii....
 
Mkuu mpeleke hospitalini tu. Humu hautapata suluhu. JF siku hiz imekuwa kijiwe cha kahawa. Mizaha mingi pamoja na kejeli
 
Wengi husababishwa na kuwa na maambukizi sehemu za siri bila ya kujijua kama yana harufu,kama hayana harufu ajaribu kuangalia ainaya vyakula anavyokula au kama kuna dawa za uzazi wa mpango anatumia huwa zinaleta hili tatizo pia.Mshauri akamwone dactari
 
Mkuu nipeni ushauri na c kunibeza
Yameanza hivi karibuni au toka mwanzo? Una muda gani nae? Kama ndivyo alivyo toka siku umekutana nae, vumilia tu na jifunze kuyapenda maana hakuna namna nyingine sasa.
 
Pia hizi tabia za kuosha na anti bacteria soapa wanua friendly bacteria , na vitu vingine, kuna wanaoweka mpaka asali eti kuleta utamu. Friendly bacteria ambao ndio wanaleta harufu ya papa ni wazuri ukiwaondoa wale unakaribisha matatizo mengi huko.
 
Back
Top Bottom