Nishaurini kuhusu mpenzi wangu, ana tatizo la kuwa na maji mengi ukeni

ranjan

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
338
288
Bila shaka mu wazima mukheri wa afya njema, imenilazimu niandike humu kuomba msaada wenu wa ushauri, sielewi ni nini kimenipata, nilikuwa na demu wangu ninaempenda sana, sababu mimi ndiyo niliyemtoa usichana wake, nimekutana naye kwa Muda wa miezi kadhaa ghafla yule dada akaanza kuwa na maji ukeni kitu ambacho sikifurahii, hadi nilishawahi leta mada humu jamvini mnishauri jinsi ya kuyapunguza kama si kuyaondoa kabisaa, pia nilisha mkataza kula ndizi na nyanya chungu coz nimpenzi wa hivo vitu.

Nikakaa miezi kadhaa bila kukutana naye kimwili coz nilisafiri kidogo baada ya miezi mnne nilipokutana nae nikakuta hali ni ile ile, kiukweli niliamua kumkwepa kimtindo japo sikumweleza direct, ila sasa juzi nimeona bandiko la rubii humu kuhusu wanawake kupiga nyeto, nikagundua huenda demu wangu nae ni muumini wa nyeto, coz kutokana na bandiko lile ni athari anazopata mwanamke ni pamoja uke kutoa maji wakati wa tendo, je anaweza kurudia hali yake ya kawaida kweli?

Bado namuhitaji nisaidieni tafadhali.
 
Duuuhh kazi kweli kweli.

Rais Mstaafu alituasa "za kuambiwa changanya na zako".

Kuhusu hayo maji watafute wajuzi wa "katerero". Ukiijua vizuri hayo maji utataka yaongezeke.
hahaahahahaha mkuu umesema ukweli mtupu.

Ila katika hii dunia nimegundua kila mtu kuna kitu anapenda kwa kweli. Wengine wanatafuta maji wengine wanakimbia maji and vice versa, kwamba wengine wanatafuta kavu na wengine pia wanakimbia.

so huyu mleta mada aangalie anachopenda na kama bado anampenda binti amvumilie.
 
K
Bila shaka mu wazima mukheri wa afya njema, imenilazimu niandike humu kuomba msaada wenu wa ushauri, sielewi ni nini kimenipata, nilikuwa na demu wangu ninaempenda saana,sababu mm ndiyo niliyemtoa usichana wake, nimekuanae kwa Muda wa miezi kadhaa ghafla yule dada akaanza Kuwa na maji ukeni kitu ambacho sikifurahii, hadi nilishawahi leta mada humu jamvini mnishauri jinsi ya kuyapunguza kama c kuyaondoa kabisaa, pia nilisha mkataza kula ndizi na nyanya chungu coz nimpenzi wa hivo vitu.

Nikakaa miezi kadhaa Bila kukutana naye kimwili coz nilisafiri kidogo baada ya miezi mnne nilipokutana nae nikakuta Hali ni Ile ile, kiukweli niliamua kumkwepa kimtindo japo sikumwwleza direct, ila sasa juzi nimeona bandiko la rubii humu kuhusu wanawake kupiga nyeto, nikagundua huenda demu wangu nae ni muumini wa nyeto, coz kutokana na bandiko lile ni athari anazopata mwanamke ni pamoja uke kutoa maji wakati wa tendo, je anaweza kurudia Hali yake ya kawaida kweli?

Bado namuhitaji nisaidieni tafadhali.
...Mkuu maji yasikutishe, ni mazuri sana...yatapunguza friction na kuzuia michubuko weka mbali utamu wake....Huwa natafuta issue ya ivo ila inakuwa ngumu kupatikana.
 
Bila shaka mu wazima mukheri wa afya njema, imenilazimu niandike humu kuomba msaada wenu wa ushauri, sielewi ni nini kimenipata, nilikuwa na demu wangu ninaempenda sana, sababu mimi ndiyo niliyemtoa usichana wake, nimekutana naye kwa Muda wa miezi kadhaa ghafla yule dada akaanza kuwa na maji ukeni kitu ambacho sikifurahii, hadi nilishawahi leta mada humu jamvini mnishauri jinsi ya kuyapunguza kama si kuyaondoa kabisaa, pia nilisha mkataza kula ndizi na nyanya chungu coz nimpenzi wa hivo vitu.

Nikakaa miezi kadhaa bila kukutana naye kimwili coz nilisafiri kidogo baada ya miezi mnne nilipokutana nae nikakuta hali ni ile ile, kiukweli niliamua kumkwepa kimtindo japo sikumweleza direct, ila sasa juzi nimeona bandiko la rubii humu kuhusu wanawake kupiga nyeto, nikagundua huenda demu wangu nae ni muumini wa nyeto, coz kutokana na bandiko lile ni athari anazopata mwanamke ni pamoja uke kutoa maji wakati wa tendo, je anaweza kurudia hali yake ya kawaida kweli?

Bado namuhitaji nisaidieni tafadhali.
Mkuu nenda hosp yawezekana ana fangas ama kama anatumia vidonge vya majira ama sindano ama njiti hiyo pia inaweza kuwa sababu kubwa
 
Bila shaka mu wazima mukheri wa afya njema, imenilazimu niandike humu kuomba msaada wenu wa ushauri, sielewi ni nini kimenipata, nilikuwa na demu wangu ninaempenda sana, sababu mimi ndiyo niliyemtoa usichana wake, nimekutana naye kwa Muda wa miezi kadhaa ghafla yule dada akaanza kuwa na maji ukeni kitu ambacho sikifurahii, hadi nilishawahi leta mada humu jamvini mnishauri jinsi ya kuyapunguza kama si kuyaondoa kabisaa, pia nilisha mkataza kula ndizi na nyanya chungu coz nimpenzi wa hivo vitu.

Nikakaa miezi kadhaa bila kukutana naye kimwili coz nilisafiri kidogo baada ya miezi mnne nilipokutana nae nikakuta hali ni ile ile, kiukweli niliamua kumkwepa kimtindo japo sikumweleza direct, ila sasa juzi nimeona bandiko la rubii humu kuhusu wanawake kupiga nyeto, nikagundua huenda demu wangu nae ni muumini wa nyeto, coz kutokana na bandiko lile ni athari anazopata mwanamke ni pamoja uke kutoa maji wakati wa tendo, je anaweza kurudia hali yake ya kawaida kweli?

Bado namuhitaji nisaidieni tafadhali.
.aache au apunguze kula ndizi,ndio zinasababisha hiyo hali,bukoba na tukuyu wanawake wote wapo hivyo,na tunawafurahia sana..
 
Mkuu...
Utasababisha mabazazi waanze kumtamani huyo unaemuita dem wako aiseeee....
 
Back
Top Bottom