Nishaurini kuhusu huyu dada

Achana naye huyo wa kazi gan? Kwanza mambo ya kuoa hayana dili halafu huyo hakupendi ataishia kukuomba pesa Mara ooh za umeme,Mara nguo,Mara Simu au nikopeshe usipompa atakwambia basi nafuta namba yako

Ni mwanamke mstaarabu sana na hajawahi kuniomba hela hata mara moja. She is nat materialistic
 
Mwanamke n vigum sana kufuta namba ya mwanaume ila sisi tukizinguliwa kidog tu lazima tufute namba za mwanamke.
 
Ha ha ha kwa sababu tuna bango usoni... Anakuvutia kasi tu ipo siku anakulipua

kimsingi ninamfahamu toka tulivokuwa chuoni first year na sasa amemaliza mwaka wa tano chuoni, ingawa mimi nilikuwa mbele yake kwa miaka miwili. Yan ni zaidi ya mstaarabu
 
kimsingi ninamfahamu toka tulivokuwa chuoni first year na sasa amemaliza mwaka wa tano chuoni, ingawa mimi nilikuwa mbele yake kwa miaka miwili. Yan ni zaidi ya mstaarabu

mimi nisiongee zaidi aiseee .. ila mwanamke huwa asamewi mkuuu.. achana na hichi kiumbe mwanamke aisee... ila amini ni mstarabu vizuri na hongera
 
Hakupendi

Dada nakuomba unipende tafadhari. Nitatekeleza yote utakayo niagiza nikutekelezee, nimechoka kusubiri bahati, naona kama siku hizi bahati zimekwisha,nifanye nijione mfalme hata kwa nusu siku tu,ili nimi nijione nimejaaliwa kuliko wanaume wote,plz.
 
ww dada eb mjali hyu jamaa mana kla thread lazma aende op kwa mada wekwa!
back 2 da topic!braza kaka penz co ndiz et ata kma haijaiva utamenya utakla,further more women wana mcmamo xana kwa wasemayo especially kma mada concern herself,so ka hatak temana nae,kwan sh ngap kaka
 
Watu mna mioyo migumu,yani mwaka mmoja na nusu unafukuzia manzi tu?
 
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa huyu hajawahi kuingia kwenye unayoita hati miliki yako. Kwa hiyo hiyo ruba style yako haifanyi kazi.

Ila nafurahi sana nikimuona mwanaume anaedhani yuko irresistible. Kuishi ni kujifunza, siku ukiachika uje uanzishe uzi wenye nyota nyota
 
Kwa hali ilivyo sasa, yeye ndo anaekuja kasi kwenye mawasiliano katu ambacho hakikuwepo kabla. sasa ndo nashidwa kumwelewa.
 
Dada nakuomba unipende tafadhari. Nitatekeleza yote utakayo niagiza nikutekelezee, nimechoka kusubiri bahati, naona kama siku hizi bahati zimekwisha,nifanye nijione mfalme hata kwa nusu siku tu,ili nimi nijione nimejaaliwa kuliko wanaume wote,plz.
duh umejisifu ila umeshahu kuniambia kama unapesa aiseee
 
Huyo hakupendi, anasumbuliwa na upweke na anataka umpotezee mawazo wakati anamsubiri ampendae arudi au apatikane mpya.
 
Kila gari linalotembea rodini lina dereva. Fuata ushauri wa Kaboom
 
Last edited by a moderator:

Duuh...ulibug kk. Miez 4 aliamua kukupotezea cz aliona hufunguki...unajua bby anaekuambia yuko single ana yake juu ako.....ile wik ya kwanza ulitakiw umfungukie mpka akuogope.....achana nae...poz nying 2pa kule.
 
mkuu, huyo manzi nilimfungukia since day one and she knows kwamba namzimikia. ikafika mahali kutokana na pozi kuzidi nikakapotezea na alivoona nimepotea akaanzisha yeye mawasiliano
 
nimekusoma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…