Nishaurini kuhusu huyu dada

Nishaurini kuhusu huyu dada

Wewe umegeuzwa zombie.....wewe sio first choice
lakini unawekwa just in case first choice akizingua arudi kwako

mkuu uzoefu wangu msichana akiingia kwenye hati miliki yangu huwa hawezi kutoka labda nimwache mimi, mana huwa anawasahau mabwana zake wote waliopita.

Aijichanga tu choices zake zitakuwa;

1. Mzee wa masauti
2. Mzee wa masauti
3. Mzee wa masauti

yaan kama kama Lowassa vile
 
Sredi klozdi

Hili ndilo jibu

Nakushauri uachane nae kwasababu;
1. Hana mapenzi na wewe kwasababu ana mtu wake anayempenda kwa dhati.
2. Siku akikutafta ujue wamekorofishana na mtu wake kwahiyo anatafta faraja tu ya muda ingawa hawawezi kuachana.
3. You cant be lovers but u can be friends.
 
sabalkheri wanajamvi wa mmu.

Nimekuwa msomaji wa uzi mbalimbali katika jukwaa hili lakini ni mara chache sana nimekua nikitoa mada.

Leo nina kisa kimoja ambacho ningeomba mnishauri wanajamvi, ni hivi kuna mdada mmoja nilianza kumfuatilia kwa maana ya kumtongoza yapata mwaka mmoja na nusu umepita. Awali tulikuwa tunawasiliana vizuri kwa simu kwa miezi minne ya mwanzo na aliniambia yupo single by that time.

Kiukweli ni mdada alieumbwa akaumbika mashaallah. Lakini baada ya hapo ikawa kila nikimpigia simu hapokei au sometimes ananikatia na wala hajibu sms zangu kwa zaidi ya miezi nane hadi ikafika mahala nikakata tamaa kwa huyu bidada shosti.

Nilivyoona hali ngumu nawasiliana na mtu ambae ha-respond kwa chochote nikaamua kumpotezea.

Sasa mwezi uliopita yaani september picha likaanza tena. Baada ya kurudi zangu safari dar kutoka arusha nikawa nimelala zangu home ile naamka tu kucheki simu yangu nikakuta missed call yake. Wallah moyo ukashtuka kwanza mana nilijua hata namba yangu alishafuta kwenye contacts zake, so nikaamua kumpigia simu nijue kulikoni?

Basi nikamwendea hewani akapokea simu tukapiga stori za hapa na pale. Nikawa naweka bidii kwenye kuwasiliana nae akawa anapokea simu. Nikaanza kumkumbushia lile ombi langu akaanza kuniambia mara ooh nina boyfriend mara ooh hapendi kuwa nawasiliana nae.

Sasa mi nikawa najiuliza kama ana mtu mbona ni yeye ndo alieanzisha mara baada ya kuyasitisha mwenyewe na yeye anajua kwamba kweli ninampenda na actually nilimuahi ninahitaji kumuoa.

Wajameni can i move on with that gal au nimpotezee mana nashindwa kumwelewa kabisa.

Ushauri tafadhali.

King of the best melody

kama vp mchape nao afu fanya kama unampotezea ivi. Akiendelea kusumbua nawe endelea nae , akikuchunia nipe namba yake mkuu!!
 
hivi kwa nini mnapendaga single click? Yaani mdada akikuzungushwa kidogo tu tayari umeishakata tamaa na kuanza kulalamika. Hebu komaa huko bana chukua huyo mtoto jumla jumla kama kweli unampenda kwa dhati.

Yaani umri huo unategemea kweli asiwe na mtu, yaani awe tu anakusubiri wewe, seriously? Tatizo mnapenda kudanganywa ndo maana

hahahah....eti single click.....yaani mi mwenyewe napendaje soni - mombo......kilometer kadhaa natembea na neutral...had gari nazima kabisa sitak mlio wa engine
 
Cha msingi apo wewe ushaplay part yako kama mwanaume yaani kuwa initiator..
Uyo anataka ww uwe tanki la akiba.. n ww mfanye tanki la akiba pia..
Akizinguliwa na jamaa wake we mmege wakirudiana we endelea n mishe zako..
Nshamega wengi wa hivyo
 
Anakupenda, sasa Kuwa mtulivu, mfanye awe rafiki mengine yatafuata...
 
Sabalkheri wanajamvi wa MMU.

Nimekuwa msomaji wa uzi mbalimbali katika jukwaa hili lakini ni mara chache sana nimekua nikitoa mada.

Leo nina kisa kimoja ambacho ningeomba mnishauri wanajamvi, Ni hivi kuna mdada mmoja nilianza kumfuatilia kwa maana ya kumtongoza yapata mwaka mmoja na nusu umepita. Awali tulikuwa tunawasiliana vizuri kwa simu kwa miezi minne ya mwanzo na aliniambia yupo single by that time.

Kiukweli ni mdada alieumbwa akaumbika mashaallah. Lakini baada ya hapo ikawa kila nikimpigia simu hapokei au sometimes ananikatia na wala hajibu sms zangu kwa zaidi ya miezi nane hadi ikafika mahala nikakata tamaa kwa huyu bidada shosti.

Nilivyoona hali ngumu nawasiliana na mtu ambae ha-respond kwa chochote nikaamua kumpotezea.

Sasa mwezi uliopita yaani september picha likaanza tena. Baada ya kurudi zangu safari Dar kutoka Arusha nikawa nimelala zangu home ile naamka tu kucheki simu yangu nikakuta missed call yake. Wallah moyo ukashtuka kwanza mana nilijua hata namba yangu alishafuta kwenye contacts zake, So nikaamua kumpigia simu nijue kulikoni?

Basi nikamwendea hewani akapokea simu tukapiga stori za hapa na pale. Nikawa naweka bidii kwenye kuwasiliana nae akawa anapokea simu. Nikaanza kumkumbushia lile ombi langu akaanza kuniambia mara ooh nina boyfriend mara ooh hapendi kuwa nawasiliana nae.

sasa mi nikawa najiuliza kama ana mtu mbona ni yeye ndo alieanzisha mara baada ya kuyasitisha mwenyewe na yeye anajua kwamba kweli ninampenda na actually nilimuahi ninahitaji kumuoa.

Wajameni can i move on with that gal au nimpotezee mana nashindwa kumwelewa kabisa.

Ushauri tafadhali.

KING OF THE BEST MELODY

hapa tatizo ni age.
 
Achana naye huyo wa kazi gan? Kwanza mambo ya kuoa hayana dili halafu huyo hakupendi ataishia kukuomba pesa Mara ooh za umeme,Mara nguo,Mara Simu au nikopeshe usipompa atakwambia basi nafuta namba yako
 
Sabalkheri wanajamvi wa MMU.

Nimekuwa msomaji wa uzi mbalimbali katika jukwaa hili lakini ni mara chache sana nimekua nikitoa mada.

Leo nina kisa kimoja ambacho ningeomba mnishauri wanajamvi, Ni hivi kuna mdada mmoja nilianza kumfuatilia kwa maana ya kumtongoza yapata mwaka mmoja na nusu umepita. Awali tulikuwa tunawasiliana vizuri kwa simu kwa miezi minne ya mwanzo na aliniambia yupo single by that time.

Kiukweli ni mdada alieumbwa akaumbika mashaallah. Lakini baada ya hapo ikawa kila nikimpigia simu hapokei au sometimes ananikatia na wala hajibu sms zangu kwa zaidi ya miezi nane hadi ikafika mahala nikakata tamaa kwa huyu bidada shosti.

Nilivyoona hali ngumu nawasiliana na mtu ambae ha-respond kwa chochote nikaamua kumpotezea.

Sasa mwezi uliopita yaani september picha likaanza tena. Baada ya kurudi zangu safari Dar kutoka Arusha nikawa nimelala zangu home ile naamka tu kucheki simu yangu nikakuta missed call yake. Wallah moyo ukashtuka kwanza mana nilijua hata namba yangu alishafuta kwenye contacts zake, So nikaamua kumpigia simu nijue kulikoni?

Basi nikamwendea hewani akapokea simu tukapiga stori za hapa na pale. Nikawa naweka bidii kwenye kuwasiliana nae akawa anapokea simu. Nikaanza kumkumbushia lile ombi langu akaanza kuniambia mara ooh nina boyfriend mara ooh hapendi kuwa nawasiliana nae.

sasa mi nikawa najiuliza kama ana mtu mbona ni yeye ndo alieanzisha mara baada ya kuyasitisha mwenyewe na yeye anajua kwamba kweli ninampenda na actually nilimuahi ninahitaji kumuoa.

Wajameni can i move on with that gal au nimpotezee mana nashindwa kumwelewa kabisa.

Ushauri tafadhali.

KING OF THE BEST MELODY

Yale yale et nakumbushia ombi langu.
 
Kusoma hujui hata kuangalia picha huwezi?????

kama umeusoma vizuri uzi, binafsi nilishampotezea ila niyeye mwenyewe akarudisha mawasiliano nami tena baada ya almost mwaka kupita, tena hata urafiki wa kawaida namimi alikuwa hataki
 
Back
Top Bottom