Nishakata tamaa na kuoa

chukua hao wasioeleweka halafu utamfanyia transformation, kwa sababu hao wanaoeleweka ndani ya ndoa anaweza akakuletea MAUZAUZA, au jiunge na kanisa la Mwamposa kuna wanawake wengi wanenda kuombewa waolewe, na huwa ni PISI za kueleweka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…