Kumbe ndo huyu?Umetoka kutuambia mke wako anaomba taraka kwasababu wewe unatembea na mama yako,Sasa unahangaika kuoa tena wakati mama yako yupo ambaye unamvulia nguo kila siku
Hahahahahaā¦mangi sisi tupige monde tu hizi stress tuwaachie hawa madogoPole sana , sisi tuna kunywa bia tuš
Ndo huyo mkuuKumbe ndo huyu?
Sure bwasheeHahahahahaā¦mangi sisi tupige monde tu hizi stress tuwaachie hawa madogo
Ni ngumu sana kujua kipi mwanamke anataka ngumu sanaDah Yule mwamba sijui kawezaje kung'oa chuma Ile matata balaa
Id nyingineUmetoka kutuambia mke wako anaomba taraka kwasababu wewe unatembea na mama yako,Sasa unahangaika kuoa tena wakati mama yako yupo ambaye unamvulia nguo kila siku
Huyo yupi?Ndo huyo mkuu
Ohoooo h š¤£š¤£š¤£Mimi
Hao wakijijini sina hamu nao kabisa
Kwa nionavyo mimi ukiwa serious kutafuta mke kwanza hupati na hata ukipata ndiyo mambo ya leo ndoa kesho talaka...Kiv
p mkuu?
Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa
Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
SASA TULIO FLOOR HIYO NA HATUNA HATA WAPENZI WANAOELEWEKA TUSEMEJE ???Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa
Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
Kweli mkuuSio kweli
Tafuta utapatagašKwanini isiwe
Kweli mkuu